CHADEMA waifungulia CUF njia…

ukweli mchungu dogo umekuingia

Kenya wanafikiria kuwapa wanafunzi wote laptop nyie mnafikiria kuuunad kesi zenu za kipuuzi eti ugaidi unaujua ugaid au mnausikia.

Ile video itawaumbua
 

Bila Shaka wewe ni heche au Ben sa8. Nawe watanzania wanakuombea ufe Kama ulivyowauwa hao wengine na Kama ulivyoumbuka na sumu pale ulipolewa ukaidondosha....Nyama wewe
 
Kenya wanafikiria kuwapa wanafunzi wote laptop nyie mnafikiria kuuunad kesi zenu za kipuuzi eti ugaidi unaujua ugaid au mnausikia.

Ile video itawaumbua

Tulia dawa iingie vizuri ili muache kuuwa na kutesa wana nchi wasio na hatia
 
Ni vema kusoma thread na kuelewa kabla ya kujibu.
Usiwe kama Sugu.

ZeMarcopolo, narudia tena CCM imekosa rasilimali watu. Umejikita kulinganisha mabunge mawili na kambi mbili za upinzani. Lakini mbona umewaacha masipika? Lete mada nyingine isemayo: Makinda amuongezea umaarufu Sitta.

Pia kuhusu ahadi zilizotolewa na wabunge wa CDM, vp CCM hamkutoa ahadi? Rais wenu kashazitimiza zote? Vp wabunge wenu wamezitimiza?
 
Ze marcoplo. Jina lenyewe tu jinamizi tupu,hivi unaelewa kweli siasa au ni mwansiasa mchwara,CUF na ccm kunatofauti gani?hata hisia huna wee ni kijana kweli,yaani unatoa historia kama vile huna kichwa sasa chadema wakiungana na cuf na cuf tayari wameiungana na ccm maana yake nini? hebu jaribu kutafakari kidodg kama kweli unaubongo na unaishi duniani isijeikawa kuna mapepo humu jf maana kuna watu nadhani hawana vichwa ni viwiliwili tu yaani hata hisia hakuna!!!!?????????KILA jambo huja kwa wakati wake hata dunia inabadilika kila kukicha mfano mabadiliko ya tabia nchi nk.wewe unaishi dunia gani??wakati ule cuf chini ya maalimu seif zanzibar ilikuwa CUF kwa kukusaidia tu cuf haipo tena ila ukitaka jina lipo ndoto za cuf kuchukua visiwa zimekwisha tangu maalimu alipojiunga na magamba hujui hata hilo??kabla yua cuf kuwa ccm b kweli wangeweza kuungana na CDM lakini kwa sasa ni abunuwas!!!!!bado tu hujapata picha ??kwa ufupi mapambano ya ukombozi nchi hii ndio kwanza yananza hapa ni mwanzo tu mwanzo wenyewe wala haujaanza,maandamano,lugha kali hizi zote ni struggle kuelekea demokrasia ya kweli au wewe ndio wale watu wa ndio mzee ndio mzee huwezi hata kuhoji?hakuna kashfa bungeni wewe pale kuna mapambano na madhalimu wanaoliangamiza taifa,nakupa pole sana kwa mtazamo wako hasi!
 
Bila Shaka wewe ni heche au Ben sa8. Nawe watanzania wanakuombea ufe Kama ulivyowauwa hao wengine na Kama ulivyoumbuka na sumu pale ulipolewa ukaidondosha....Nyama wewe

heche tu huyu cd zake zilezile kama za jana *tv
 
weng tu au hujui wing huanzia zaid ya moja jamaa amewaeleza vizur kuwa mlifanya kosa kuwa kataa cuf
Cuf tuliikataa kwa kuwa imefunga ndoa na ccm. Yeyote anayejihusisha na CCM hafai kwenye jamii yetu ya sasa kwa maana ccm ni chama cha madisadi.Kwa sasa watu wengi tumeshaelimika hamna tena wakudanganyika. Acheni propaganda za kizamani focus kwenye kuletea watu maendeleo
 

V4C bado ipo? Ilizinduliwa Arusha na makamu wa Raisi Zanzibar alikuwepo mkatoa Coaster 27 kutoka Dar ili mkawahutubie watu wa mwembeyanga kule Arusha....HAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 

Kila siku mnahangaika kujadili CHADEMA na viongozi wake lakini zinapoanzishwa mada kama hii
Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!
ambazo zinalenga mustakabali wa taifa letu mnashindwa kuzijadili aidha kutokana na uelewa mdogo ama kutokana na tamaa na kupumbazwa na ahadi za kijinga kutoka kwa hao mnaowasujudia.

Hakuna mtu analazimishwa kuwa mwanachama ama mpenzi wa chama fulani lakini katika kuonesha kuwa unakipenda chama fulani ni vyema upenzi huo uambatane na kuonesha pia kwamba unalijali taifa na hatima ya wananchi wake kwa siku za mbeleni; Watanzania tubadilike na pale inapobidi tuoneshe mshikamano wa pamoja katika kupigania maendeleo ya nchi yetu, hakuna mjomba wala shangazi kutoka Amerika, Ulaya, Asia ama Mashariki ya Mbali atakayekuja kutusaidia ama kutushauri namna ya kuijenga nchi yetu.

Tukiendekeza huu ushabiki usio na mwelekeo wala faida tunajimaliza wenyewe wakati wajanja wachache wakiendelea kushibisha matumbo na kuneemesha ndugu na jamaa zao ilhal asilimia kubwa ya watanzania wakiendelea kutaabika kwa kukosa japo huduma za msingi.
 
Kenya wanafikiria kuwapa wanafunzi wote laptop nyie mnafikiria kuuunad kesi zenu za kipuuzi eti ugaidi unaujua ugaid au mnausikia.

Ile video itawaumbua

Tulia dawa iingie vizuri ili muache kuuwa na kutesa wana nchi wasio na hatia
 

Hivi kumbe Ze marcopollo ndo yeye!Duh!Hajakubali tuu!Ee Mungu ingilia kati kwa watu kama hawa wanaohimiza kwa nyimbo tamu udhalimu wa wanyonge huku wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Mkuu nini maoni yako kuhusu machafuko yaliyokuwa yanatokea Zanzibar pamoja na Hali tete ya kisiasa iliyokuwepo visiwani kabla ya serikali ya umoja wa kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…