CHADEMA waifungulia CUF njia…

Ni vizuri umefahamu kuwa siasa za Tanzania ya leo zinahusisha CUF na CHADEMA pekee hivyo CCM imeshajifia. Hongera sana kwani sasa umeanza kuona mwanga kwani ulikuwa kipofu haswaaa.

ukweli mchungu huu
 
ni kweli lakini haikuhusu
 
Kwahiyo ni wajibu wa mbunge wa Pemba kuzungumzia maswala ya Tanzania bara lakini mbungewa Tanzania Bara hapaswi kuzungumzia maswala ya Pemba?
Najua hiyo ni sehemu ya sera ya chadema ya majimbo lakini haiko sahihi kwenye hilo.
Mkuu hawa jamaa ni janga la taifa.
Wanaaga kwenda bungeni kupiga kelele....,
Mie sioni tofauti ya wabunge wa Chadema na wanafunzi wa chekechea
 
Ni sawa na CCM wanavyosema CHADEMA kifikia mwaka 2015 kitakuwa kimekufa, si ni sawa tu na mawazo ya huyu bwana kwani tofauti iko wapi hapo

ukweli huu tulia uingie vema kwa jina la ccm
 
Mimi nimevutiwa pale mwishoni kwamba mnyika awe anapitia kwanza hotuba za sugu...huuushauri ni muhimu sana japo mnyika naye Dakika mbili mbele.bora hata vicent Nyerere ametulia kidogo
 
CHADEMA imechoka kiasi kwamba Mh. Sugu anachangia pumba bungeni na Mh. Nassari yeye hajui umuhimu wa Nyuki, kwa kweli 2015 CUF njia nyeupe kwao ya kuwa chama kikuu cha upinzani.

sugu kwa bang ,mbeya mjin wanajuta
 
Hii thred inatakiwa iWe dira kwa viongozi na wabunge wa chadema. Nashangaa kuna wahuni hapa wanarusha mateke
 

Ende wia womoo utondo luu... kasi yanyu ikusara ko itumia mbito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…