hivi wale washihi ambao tendwa alisema wametangaza watamuua lema akikanyaga arumeru waliishia wapi????
Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums
mi nilishamwondoa tendwa kwemye database yangu zamanii kama jk na mkapa
hivi wale washihi ambao tendwa alisema wametangaza watamuua lema akikanyaga arumeru waliishia wapi????
Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums
mods!!!!!!!!
jiulizeni hivi
1.tendwa ni mwanachama wa chama gani?
2.ameteuliwa na nani?
3.kabla ya uteuzi alitoka chama gani?
4.je yupo huru au anapata maelekezo toka kwa nani?
5. nani anamlipa mshahara?
siku zote nimuonavyo mimi ni wa CCM.
kwani watendaji wa serikalini ni dhambi kwao kuwa CCM?
jambo la msingi atekeleze majukumu yake kwa kuzingatia kanuni, taratibu na sheria.
sio dhambi kwa mtendaji kawa huyo kuwa mpenzi wa chama tawala, kwani CHADEMA wakefanikiwa kuchukua nchi wangemuweka nani kuwa msajiri wa vyama vya siasa kama sio mtu wao?
ukiwa chama tawala inabidi uwe na watu unaoweza kuendesha nao serikali kwa kuwa na imani moja, ulitaka wawaweke magamba ili mtufanyie fujo na kutupa shida kiutendaji?
Magamba kazi zenu nyinyi ni fujo na malumbano hakuna lingine mnalolijua. aaah nimesahau na uzalishaji katika viwanda vyenu vya uongo.
Soma mada yote pengine utaelewa!Unalia nini na Mods?
Jaji Tendwa kwenye hili la kukata ruzuku ningependa alifanye haraka haraka, lengo kuu hapa ni kutuokolea fedha zetu wananchi zisiende katika matumbo ya hao MAJAMBAZI wasiotumia silaha.
Jeuri na kiburi chao tuone kitaishia wapi wapuuzi hao, kwanza kwanini asirejee katiba ya nchi imejieleza waziwazi kuhusu kutokuwa na uhalali wa hiki chama katika siasa za hapa nchini.
Katiba ya nchi imekataa kuwa na chama cha siasa ambacho kimeundwa kikanda, hapa kwenye hili la ukanda ukiangalia vyama vyote vya siasa utaona ni CHADEMA pekee ndio wamejazana WACHAGA na WA-ARUSHA.
Kama baba wa taifa angekuwa na akili kama ya hawa MAGWANDA leo hii nafasi zote ndani ya chama angewajaza watu wa MUSOMA, lakini akufanya hivyo, aliamini katika "binadamu wote ni sawa" na wote wana haki ya kupata fursa katika nafasi yeyote ndani ya chama au kitaifa.
Wewe mwananchi unaeipigania CHADEMA na kuiunga mkono, fanya tafiti na ukijue kwa undani wake, usiridhike kwa maneno ya hao wasanii wachumia tumbo, wataongea lolote hili wakuteke akili yako kwa lengo la kukutumia.
Mabadiliko ya hili taifa yatatokana na CCM, jambo la maana ni kuiacha serikali itekeleze ilani ya chama ya mwaka 2010 na muifanyie tathmini kutokana na yale yaliyoelezwa kwenye ilani ya chama, kama yametekelezwa au laa.
"BADILIKA UBADILI TAIFA".
Sina utaratibu wa kubishana na VILAZA, maana ninaogopa kumpa mawazo yangu, wakati najua fika hawezi kuyachambua kwa udogo wa uwelewa, uweledi na umakini wake.
Wewe ni kilaza, kwahiyo si vyema nikabishana na wewe kwa uwezo mdogo ulionao wa hayo niliyoyaeleza hapo juu.
Kajifunze kufanya uchanganuzi wa mambo, kwa ushauri wa bure kabisa nakupa.
Kwa nini hujataja Moshi?Mbeya kwa wachaga
Iringa kwa wachaga
Kawe kwa wachaga
Ubungo kwa wachaga
Arusha kwa wachaga
Mwanza kwa wachaga
Kigoma kwa wachaga
Arumeru kwa wachaga
Hakuna kwenda basi,yeye ashaongea ujinga ujinga hakuna sababu ya kumuabudu,muacheni hadi hapo aliyempya ujeuri atakapo ona hafai.
............Kwani Tendwa ndio siasa au bila ya Tendwa siasa haitakuwepo?. Poor thinking!!!!!!!!!Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.
......................koooote umeandika utumbo mtupu, kwenye hizo paragraphs mbili za mwisho tu ndo umeandika ukweli usiopingika na huitaji kutumia miwani au microscope ili kuona MAGAMBA ndio wanaofanya fujo na kutupa shida kiutendaji, pia MAGAMBA kazi yao ni fujo na malumbano hakuna lingine wanalojua, aaah ulisahau na uzalishaji katika kiwanda chao cha uongo wakiongozwa na dhaifu na Nape wazee wa mipasho. Well done kijana!!!kwani watendaji wa serikalini ni dhambi kwao kuwa CCM? jambo la msingi atekeleze majukumu yake kwa kuzingatia kanuni, taratibu na sheria. sio dhambi kwa mtendaji kawa huyo kuwa mpenzi wa chama tawala, kwani CHADEMA wakefanikiwa kuchukua nchi wangemuweka nani kuwa msajiri wa vyama vya siasa kama sio mtu wao? ukiwa chama tawala inabidi uwe na watu unaoweza kuendesha nao serikali kwa kuwa na imani moja, ulitaka wawaweke magamba ili mtufanyie fujo na kutupa shida kiutendaji? Magamba kazi zenu nyinyi ni fujo na malumbano hakuna lingine mnalolijua. aaah nimesahau na uzalishaji katika viwanda vyenu vya uongo.
mbona Tendwa hajatoa kauli za kuvifuta ccm na cuf kwa matukio yaliyotokea uchaguzi mdogo wa bububu? hapa ndipo ninaanza kumuona Tendwa hapaswi kuaminika wala kukaa katika ofisi hiyo
Dawa zinamuathiri...... He is sick