Chadema wagomea mwaliko wa Tendwa

Chadema wagomea mwaliko wa Tendwa

Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.

Wakati mwingine inabidi usome na uelewe, CDM wanasema hawatashiriki shughuli zinazosimamiwa na Tendwa lakini wataheshimu sheria za nchi. kwa akili zako unadhani siasa za Tanzania ni lazima Tendwa awepo? Hivi leo unadhani ukiitishwa uchaguzi na tume ya uchaguzi CDM hawatashiriki, hivi kuheshimu sheria za nchi na kutokumjali Tendwa huoni kama kuna tofauti. Hata kama umekunywa viroba tulia kwanza kabla hujakurupuka
 
i hate the way he talks, tendwa huongea kama mtu wa huakika sana lakini ukisikiliza kinachotoka nyuma ya pengo ni ugolo wa ajabu! jamaa ana boa vibaya sana sema hajijui, naongea kutoka ndani ya rohoo yangu jamaa simpendi jinsi anavyo jiona mjuaji kumbe hakuna kitu

nimependa sana ulivo m describe Tendwa...ni jitu flani comedian hivi..hovyo kabisa..Huyu aliwahi kusema JK anfanya kampeni mapka saa moja na nusu usiku kwa kuwa Kigoma kwa jua linachelewa kuzama...yaani hana akili kabisa huyu mzee
 
angeita CCM,CUF na polisi ndio wana ozoefu wa kufanya fujo.CDM wana uzoefu wa kufanyiwa fujo..Labda CDM ndio wangetoa semina kwa Tendwa ili aweze wafundisha wengine.
 
That is the only way of dealing with this guy as ameonesha wazi wazi kwamba yeye ni kada wa chama cha magamba,
 
angeita CCM,CUF na polisi ndio wana ozoefu wa kufanya fujo.CDM wana uzoefu wa kufanyiwa fujo..Labda CDM ndio wangetoa semina kwa Tendwa ili aweze wafundisha wengine.

Very right comment. Yeye kama pia ndiye mlezi wa vyama vyote, kutokana na ushahidi wa wazi hadi hivi sasa, alipaswa kuwaita CCM na Polisi, ambao ndiyo wamejenga ushirika, wa kuunda mkakati wa kuhakikisha kuwa CDM, wanashindwa kufanya shughuli zao za kisiasa, kinyume cha sheria za uendeshaji wa sisa wa nchi hii, sasa badala yake ndiyo huyo anakurupuka na kutishia kuifuta Chadema!! What type of rubbis.. Registrar, this country is having??!!
 
Hope kwenye hiyo kadi ya mwaliko kulikuwa na RSVP:wacko:
 
Wazo lako kama zuri Vile!! Ningeomba yawepo Masharti ya Kuhudhuria ila Tendwa aelezwe Ukweli!! Kwani Namwona Tendwa kama Hajali Vile kwani 'Kila Jumapili anatinga maeneo ya Kimara Korogwe na kufunguliwa Geti na Kujificha Huko!! Duh Viongozi na NJI HII?


Kwani haruhusiwi uhuru binafsi??
 
Tendwa amekosa moral authority ya kuwa mlezi wa vyama vya siasa. Ni bora aondolewe hapo atoe kadi yake akagombee ubunge kupitia CCM.
 
Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.
Kwani Tendwa ndio siasa za nchi hii? Nakumbuka Mzee Makamba alishawahi kumwita Karani wa kuandikisha vyama. Chadema wako sawa.
 
Safi sana JJ Mnyika, huo ndio upinzani wa kweli, ni kuwakimbiza wazee hawa hadi kieleweke. Bahati mbaya baadhi ya viogozi wenu wanaonekana kuwa karibu na chama tawala.
 
Nimeipenda hii.


541089_348684461890310_950371795_n.jpg

Hii kitu inawatisha sana!
 
Hivi unamgomeaje Tendwa halafu unaendelea na kazi za kisiasa? Si uache siasa kabisa basi.

akili zko zinafikiri kweli?
kwni vyama vya siasa vinafanya kazi kwa mujibu wa tendwa au katiba.?????????????

kwani tendwa ni sheria za uchaguzi ?

be seriously lady.tendwa wako ni mwanadamu mengine anayosimamia ni sheria ambazo mtu mwingine anaweza kuzisimamia.

CHEO NI DHAMANA TU,HILO HUWA HAMLIJUI NDIYO MAANA MNAJIONA MMEFIKA.
 
Nakubaliana na CHADEMA kwani TENDWA alishaonekana dhahili kuegemea upande mmoja kwani mauwaji ya ARUSHA,MOROGORO NA MBEYA YALIFANYWA na POLICE mbona mimi sikuona sikuona CHADEMA waljpohusika kwa mujibu wa vyombo vya habari?na hakutoa kauli juu ya mauji na kuwataka police kutoa haki na usawa kwa vyama vyote?
 
Angemualika Kamuhanda na yule RPC wa Moro Shilogile, hao ndio wanastahili si CDM!
 
Back
Top Bottom