Waandishi wa habari wengi ni Pro-Chadema, unatakiwa umpongeze huyu muandishi shujaa aliyeleta hii habari..tafakari.
Watagombaniaje madaraka wakati tayari watakuwa nayo tayari. Wakuu yaani hizi zote ni mbinu za Shetani kuwaaminisha watu kwamba haiwezekani chama cha upinzani kuongoza nchi, hilo halitawezekana. Wenzetu Zambia tayari vyama viwili vya upinzani vimeishachukua madaraka na maisha yanasonga mbele tu, Majirani zetu Malawi kadhalika. Watanzania wa leo sio wa kudanganywa kirahisi hivyo
Hawa ndio tuwape nchi yetu si itakuwa hatari.
mpe mkeo ndio sio hatari
Tumpongeze Hussein Bashe kwa umahiri wake wa kuhariri habari hii. zero brain!
Umejiuliza kwanini waandishi wengi ni pro-chadema ukapata jibu?
Hebu soma signature yangu bro.
@ritz ni mzigo hapa JF!
Tumpongeze Hussein Bashe kwa umahiri wake wa kuhariri habari hii. zero brain!
Umejiuliza kwanini waandishi wengi ni pro-chadema ukapata jibu?
Nimejiuliza na jibu nimepata waandishi wanasubiri Chadema wachukuwe nchi wamepewe ukuu wa wilaya.
Tena hawa jamaa lazima tuwe makini sana inawezakuwa ni wakimbizi kwa sababu mambo ya kupigana pigana sisi hatuna.
Ukiona kuna mtu wa chadema anatetewa na mahakama na polisi,basi ujuwe kuna jambo.
Polisi wanajuwa wao hawawezi tena kufanya fujo na kuuwa wananchi wanapotumwa na magamba,kwahiyo siwezi kushangazwa,kwasababu hata kule morogoro si kuna waliokuwa wamevaa kiraia na skafu ya chadema huku wakiwa na bastola?
Mbinu chafu tu hizi halafu mnadhani hamjulikani,Tanzania ya leo si ya jana!
Nimejiuliza na jibu nimepata waandishi wanasubiri Chadema wachukuwe nchi wamepewe ukuu wa wilaya.
Hivi wewe unataka kulinganisha nchi yetu na Zambia. Unaijua Zambia au unaisikia. Vitu bei juu maisha magumu. Usipende kuiga iga unatakiwa wewe uwe wewe sawa?
Tena hawa jamaa lazima tuwe makini sana inawezakuwa ni wakimbizi kwa sababu mambo ya kupigana pigana sisi hatuna.
Ngoja niwambie ukweli kwa wale wanaofikiri hizi fujo zililetwa na wanachama halali wanaoipenda chama chao. Ukweli wa mambo ni Matata alitafuta vijana wakwenda kufanya fujo. Usiku wa kuamkia tukio hilo Matata alisikika katika katika hoteli moja ijulikanayo kama Hotel Kingdom ambako alikuwa akinya na watu kadha pamoja na Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela na Jamaa mwingine wa CCM. Matata alisikika akipanga jinsi ya kupata watu wakwenda kufanya fujo kesho yake.
Huyu jamaa(matata) ni jangili wa siku nyingi hapa mwanza na anafahamika. Pia anashirikiana na CCM kutaka kuivuruga Chadema.