Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,249
...hapo ndo ukweli wa hizo vurugu ulipojificha...polisi tunaowategemea kulinda amani wanaona amani inataka kuvunjwa wanaondoka!?...baada ya muda kidogo wanaingia hao wahuni wanafanya vurugu alfu polisi wanaitwa kutuliza fujo!!!,mwisho wa siku hakuna aliyekamatwa na polisi kuhusiana na hizo vurugu?...hizi mbinu zenu za kishenzi mnazozitumia kujaribu kuivuruga Chadema haziwezikufanikiwa...baada ya poliSISIM kuondoka likaingia kundi kubwa la vijana kufanya fujo.CHANGANYA NA ZA KWAKO
Umeonaee! iko siku wakiwa madarakani,utasikia prezidaa kazichapa na pm wake! hawafaiiii!
Huyu jamaa(matata) ni jangili wa siku nyingi hapa mwanza na anafahamika. Pia anashirikiana na CCM kutaka kuivuruga Chadema.
mhhhh mbona mimi niko mwanza hii cjaisikia
Habari nzito kama hii inaweza kureportiwa na "jarida" moja tu la MTANZANIA? Tafakari.
Tabia ya mtu haitibiwa bali ugonjwa ndo unatibiwa-maneno ya babu yangu. Hawa jamaa wa CDM unavyoona wanajibu utumbo hivyo ndivyo walivyokuwanzia wapambe,,wanachama na hata viongozi, sasa wataachaje kuchapana?
Hizo ni taarifa ambazo huwa hazipewi kipaumbele kwenye magazeti yanayosomeka kitaifa,hapo ujuwe kulikuwepo mpango tu halafu arushwe kwenye magazeti na huku wakijaribu kuwaaminisha wananchi kuwa huo ndo uongozi wa chadema.mhhhh mbona mimi niko mwanza hii cjaisikia
Mkuu Mwanza kubwa kutokusikia wewe hakuifanyi hiyo habari isiwepo kwani wewe ni nani Mwanza, RPC?
Ngoja niwambie ukweli kwa wale wanaofikiri hizi fujo zililetwa na wanachama halali wanaoipenda chama chao. Ukweli wa mambo ni Matata alitafuta vijana wakwenda kufanya fujo. Usiku wa kuamkia tukio hilo Matata alisikika katika katika hoteli moja ijulikanayo kama Hotel Kingdom ambako alikuwa akinya na watu kadha pamoja na Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela na Jamaa mwingine wa CCM. Matata alisikika akipanga jinsi ya kupata watu wakwenda kufanya fujo kesho yake.
Huyu jamaa(matata) ni jangili wa siku nyingi hapa mwanza na anafahamika. Pia anashirikiana na CCM kutaka kuivuruga Chadema.
Asante sana mkuu, natumaini mwenye akili nzuri sana amekuelewaHii wala isiwasumbue watanzania mliopitia huu uzi ni kwamba:- Huyu bwana matata kweli alipigwa chini baada ya kukubali kuwa huwa anachukuaga rushwa sasa ni kweli aliomba kuwa Meya wa Ilemela ila kwa sababu alishaonekana ana matatizo ambayo ni kashfa kwa CDM waliamua pamoja na mahakama kumtaka aendelee kuwakilisha wananchi lkn jina lake lilikosa sifa ya yy kuwa meya maana waloomba walikuwa zaidi ya watu wawili yy amepigwa chini.
Pia ikumbukwe yeye matata kupitia television ya star Tv alisha sema hichi kikao (cha jana) kisinge fanyika kama jina lake halitapitishwa alisema ataleta vijana wake kama 120 ambao niwafanyakazi wa meli zake kuja kuwafanyia fujo wajumbe wala wale waliofanya hizo vurugu siyo vijana wa kitangiri kama mleta hoja anavyotaka kutuaminisha kama mnataka nendeni star Tv mkawaombe wawape script ya hicho kipindi kirudiwe ndo mtajua huyu matata ana malengo gani, Pia sijawahi kuona chama kina chaguliwa viongozi na mahakama hili suala la Meya kutoka kwenye chama ni la chama mahakama ilikataa wakamrudishia uanachama matata na chama hakijakataa lakini kupeperusha bendera ya chama kwa kugombe kiti chochote hiyo ni hapana yeye yupo sawa na kina Hamad Rashid,david Kafulila n.k so matata ni diwani wa mahakama na pia naamini CDM hawawezi kwenda kwenye ukumbi wa halmashauri(Mahali ambapo vikao vya madiwani vinafanyika na kusema matata hatakiwi kuwemo hilo halipo ndiyo amri ya mahakama itakuja) kumbukeni CDM inawanachama wengi mwanza siyo Matata peke yake.
Aksanteni
nakupongeza kwanza wewe na huyo muandishi wako:yo:Waandishi wa habari wengi ni Pro-Chadema, unatakiwa umpongeze huyu muandishi shujaa aliyeleta hii habari..tafakari.
baada ya poliSISIM kuondoka likaingia kundi kubwa la vijana kufanya fujo.CHANGANYA NA ZA KWAKO
Watagombaniaje madaraka wakati tayari watakuwa nayo tayari. Wakuu yaani hizi zote ni mbinu za Shetani kuwaaminisha watu kwamba haiwezekani chama cha upinzani kuongoza nchi, hilo halitawezekana. Wenzetu Zambia tayari vyama viwili vya upinzani vimeishachukua madaraka na maisha yanasonga mbele tu, Majirani zetu Malawi kadhalika. Watanzania wa leo sio wa kudanganywa kirahisi hivyoChadema kama wameshindwa kuheshimiana wenyewe kwenye vikao vyao mpaka wanapigana tuwaulize Chadema siku mkipewa nchi si mtapigana risasi na kutoana roho kwa kugombania madaraka.