East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Baada ya ripoti ya ukaguzi wa CAG kutoka na mahesabu ya CHADEMA kuwa mabaya na kutoonyesha baadhi ya hela nyingi ambazo wafadhili walitoa lakini hazionekani katika hesabu hizo wafadhili wakuu wa nje wamekuja juu na kuzira kuendelea kuipa msaada CHADEMA.
Ndio kisa cha CHADEMA kuinuka haraka haraka kuitisha harambee za kuchangiwa na MPESA n.k kwenye ITV baada ya kuona hawana hela za uchaguzi wa serikalki za mitaa baada ya kutafuna hata zile za ruzuku.
Kwa ufupi CHADEMA kiko mahututi kifedha na wale mliokuwa mkiona helikopta za CHADEMA angani zikikata mbuga sahauni kuziona.CHAMA Kiko mahututi kifedha.