CHADEMA wabwagwa na wafadhili wa nje

CHADEMA wabwagwa na wafadhili wa nje

Mtakosa hela mtarudi kwenye fani zenu za mwanzoni (wizi na vitu kama hivyo) na Tanzania itaendelea kuwa nchi ya amani.

Mh! kumbe nchi yetu inakuwa na amani kwa sababu ya "wizi na vitu kama hivyo"?
 
Hizo buku-buku zenu zitatosha kuwapeleka vimada wao U.S.A. na South Africa?
Linganisha gharama za safari za kikwete vs kukosekana madawa hospital,wanafunzi kukosa madawati,mfumuko wa bei,wakulima kukosa masoko ya mazao
 
Baada ya ripoti ya ukaguzi wa CAG kutoka na mahesabu ya CHADEMA kuwa mabaya na kutoonyesha baadhi ya hela nyingi ambazo wafadhili walitoa lakini hazionekani katika hesabu hizo wafadhili wakuu wa nje wamekuja juu na kuzira kuendelea kuipa msaada CHADEMA.

Ndio kisa cha CHADEMA kuinuka haraka haraka kuitisha harambee za kuchangiwa na MPESA n.k kwenye ITV baada ya kuona hawana hela za uchaguzi wa serikalki za mitaa baada ya kutafuna hata zile za ruzuku.

Kwa ufupi CHADEMA kiko mahututi kifedha na wale mliokuwa mkiona helikopta za CHADEMA angani zikikata mbuga sahauni kuziona.CHAMA Kiko mahututi kifedha.

Again we need to know the source of your info?
 
Anakonda avamia mjadala wa katiba Ubungo plaza
 
Baada ya ripoti ya ukaguzi wa CAG kutoka na mahesabu ya CHADEMA kuwa mabaya na kutoonyesha baadhi ya hela nyingi ambazo wafadhili walitoa lakini hazionekani katika hesabu hizo wafadhili wakuu wa nje wamekuja juu na kuzira kuendelea kuipa msaada CHADEMA.

Ndio kisa cha CHADEMA kuinuka haraka haraka kuitisha harambee za kuchangiwa na MPESA n.k kwenye ITV baada ya kuona hawana hela za uchaguzi wa serikalki za mitaa baada ya kutafuna hata zile za ruzuku.

Kwa ufupi CHADEMA kiko mahututi kifedha na wale mliokuwa mkiona helikopta za CHADEMA angani zikikata mbuga sahauni kuziona.CHAMA Kiko mahututi kifedha.
Wewe unaonekana ni mfuatiliaji sana wa wafadhili. Hebu tuambie na hili la wahisani kusitisha misaada yao kwa nchi yetu kutokana na ufisadi. Hilo la CDM ni dogo kwasababu ni la chama. Tuiangalie nchi kwanza wanaposema inaufisadi sijui kama wanaizungumzia CDM au chama na serikali iliyopo madarakani? Hili la nchi linatuhusu sote sisi tusio na vyama na ninyi wenye vyama vyetnu
 
Chadema haina wafdhili bali kile kidogo inatumika kwa mpangilo
 
Maccm Mbona mnatapatapa sana? Cdm itaendelea kuwanyima usingizi hadi hapo mtakapoomba poo
 
Baada ya ripoti ya ukaguzi wa CAG kutoka na mahesabu ya CHADEMA kuwa mabaya na kutoonyesha baadhi ya hela nyingi ambazo wafadhili walitoa lakini hazionekani katika hesabu hizo wafadhili wakuu wa nje wamekuja juu na kuzira kuendelea kuipa msaada CHADEMA.

Ndio kisa cha CHADEMA kuinuka haraka haraka kuitisha harambee za kuchangiwa na MPESA n.k kwenye ITV baada ya kuona hawana hela za uchaguzi wa serikalki za mitaa baada ya kutafuna hata zile za ruzuku.

Kwa ufupi CHADEMA kiko mahututi kifedha na wale mliokuwa mkiona helikopta za CHADEMA angani zikikata mbuga sahauni kuziona.CHAMA Kiko mahututi kifedha.

Kwa matusi hao, we ngoja waje tu.
 
asante kwa taarifa njema, wacha tuongeze jitihada za kukichangia chama chetu..MPESA NA TIGOPESA Zihusike zaidi,, hata Hayati Mwl. Nyerere aliendeleza mapambano kwa pesa toka kwa watanzania wenzake na si wahisani,, Tutachanga
 
we kweli kichwa box, ni ln utaacha kua toilet paper ya nape? hv una mke? nahc mkeo anaakili kulko ww, toa uchafu wako
hapo kwenye maandishi makubwa mekundu ndugu,mbona una dharau sana dada zetu na mama zetu? Ina maana hakuna mabinti/wanawake/wadada wenye akili kushinda wewe? Ni dhambi kwa mwanaume kuwa na mke mweye akili kumzidi yeye (mume).
pia ni vyema ukaacha kuandika kama unaandika ujumbe mfupi wa maneno kwenye simu, aarrrrrghh!!!
Karibu JF "dogo" ili ujifunze ilimradi uwe tayari kujifunza.
 
Kwani wafadhili ndio walioanzisha chadema? Chadema ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo. CCM mmezoea misaada ndio maana mnaogopa, eti chadema kimekwisha? mnajifariji tu.

Tunajua chadema ilianza kama kikundi cha familia ya Mtei kuchangiana kwenye matatizo na furaha, kama vile misiba na harusi, wengine mmedandia gari kwa mbele.
 
Back
Top Bottom