Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,187
- 26,214
Naam CDM,ukiona unasakamwa na watawala ujue umewashika pabaya.Ni wakati wa CDM kusemwa vibaya,kupakaziwa uongo na kadhalika.Hii nchi tunaijua,siasa zake ziko hivi.Mfano angalia kama hawa ccm wana muda na TLP au UDP.Vimekwisha ndio maana anaangaliwa sana CDM.Siku wakiacha kukutupia mawe nitajua CDM imekwisha sasa,kwa mwendo huu ni faraja kwetu wana CDM.Siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe so keep on trying team CCM.
kuhusu mtoa mada nina wasiwasi na uelewa wake,kama huna elimu na jambo fulani ni bora ukae kimya kuliko kupotosha,naona unashindwa kutofautisha kati ya hati yenye mashaka na hati chafu.Kapate msaada kwa wahasibu then rudi uedit post yako,period