Wanaukumbi.
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.
Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.
Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Yule dogo wa Bavicha naye eti alikuwa anamshambulia Dr.Slaa kapigwa chini vibaya huko Shinyanga.
Tena mnyika inabidi amsafishe miguu siku 3 ,Wenje ambebe mgongoni kutoka Ufipa hadi jangwani
Wanaukumbi.
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.
Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.
Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Kuna siku nililiona limebewa kwenye kiti huku kashika kifimbo kama Nyerere unajua Lowassa kawadanganya sana hawa jamaa.Ila lilikuwa na kiherehere wameliweza.Dah
Hapa ndio uamini kuwa Slaa angekuwepo Chadema angesha wabadilisha Bavicha na viroba vya chumvi!Kwa hiyo haya majimbo ya Ndanda na Bunda ndiyo mtaji wa Lowassa?
Yule dogo wa Bavicha naye eti alikuwa anamshambulia Dr.Slaa kapigwa chini vibaya huko Shinyanga.
Kwaniaba ya Bavicha na chadema namuomba msamaha Dr.W.Slaa kwa matusi na kejeli aliyo tukanwa na Bavicha muda wote...! Najua Slaa angekuwepo Chadema ingepata kura nyingi za kumfikia Rais Magufuli!
Ewe Slaa wasamehe Chadema na UKAWA na uwaepusha na laana uliyo waachia.....!
Mkuu sawa cc tushamuondoa omari nundu tayariYaaani nimecheka mpaka basi,shukrani mkuu...
Tunaomba Matokeo ambayo CHADEMA na CCM waliyopoteza.
Ili twende sawa.
Mimi naanza n Bunda,Siha,Tandahimba,
CCM wamechukua majimbo ya Ukawa siyo Chadema tu wamechukua majimbo ya CUF wamechukuwa majimbo ya NCCR Mageuzi.Tunaomba Matokeo ambayo CHADEMA na CCM waliyopoteza.
Ili twende sawa.
Mimi naanza n Bunda,Siha,Tandahimba,
Mkuu sawa cc tushamuondoa omari nundu tayari
Mzee yule alitumia ushirikina lakini wapi kwakweli alikuwa ana fanya commedy kuigiza kama nyerere.....Teh TehKuna siku nililiona limebewa kwenye kiti huku kashika kifimbo kama Nyerere unajua Lowassa kawadanganya sana hawa jamaa.