CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa


Vipi mshapata makao mapya maana ukawa ndio wanaingia ikulu
 
Baada ya kudanganywa na Mbowe na Gwajima mkaanza kumtukana mnamuita Dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???

Jipe moyo maana mwaka huu utauza kila kitu
 
Hivi CCM wamepoteza majimbo mangapi? Tanga, Bunda, Serengeti, Tarime, Buyungu, Tandahimba na kwingineko Hauoni? Aibu yako
 
Mnyoosho unaendelea, ukitoa Dar, Mbeya, arusha, moshi, manyara, kwingine kote ukawa wamepigwa vibaya mno
 
Unaongea kwa unyonge sana unaweza kunipa habari za Mwanza majimbo ya Ilemela na Nyamagana pamoja na Musoma Mjini.

Nipe kwanza habari za bunda na ndanda
 
Mnyoosho unaendelea, ukitoa Dar, Mbeya, arusha, moshi, manyara, kwingine kote ukawa wamepigwa vibaya mno

Wewe kweli akili zako ni za ngiri hujui unaandika nini
 
acha ungse kwa matokeo ya sasa ni sawa na mimba ya wiki 1
 
We jamaaa kilaza kweli ccm wezi tu
 

Hahaaa mkuuu nikweli kabisaaa hii laan ya dr slaa inawatafuna kwa mbaliii namuona gwajima akiungama dhambi zakeee
 
Nimeambiwa gari la lowasa liko vigwaza linaelekea monduli kuchunga ng'ombe kama alivyoahidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…