Wanaukumbi.
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.
Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.
Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.wewe unadhani slaa angekuwapo angebadilisha nn kama jiulize chadema kimefanikiwa au kimeangamia? tumeongeza madiwani mpaka monduli na tutaongeza na wabunge pia
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.