CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo

CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo

Nilitaka nikutusi ila nimeona si vema,. Naomba nikuelimishe, Kwanza Katiba sio Quruan wala Bibilia visivyo badilika Pili, Siasa ni matukio , Huwezi endelea kudai uhuru wakati uko huru, Kabla ya 1961 Nyerere na wenzake waliendesha siasa za kudai uhuru baada ya hapo walipata uhuru wakabadilisha mwelekeo wa siasa,, Sasa CDM huko nyuma mwelekeo wao ulikuwa kupambana na ufisadi na rushwa na uchafu ambao ulikuwa Serikalini, na hii imemfanya mkuu wa kaya alipoingia madarakani akayafanyia kazi kwa kiwango japo bado hajafika 60% sasa unataka CDM waendelee na vitu ambavyo wamevipata?NO, Sasa hivi wamekuja kivingine.
Sasa katiba ya Chadema inasemaje hicho wanachotaka kufanya?
 
Mmechanganyikiwa hadi mmeamua kubuni post za kuchafua.Wana chadema tuko imara na hatutetereki sababu tunajielewa
1476307622337.jpg
hizo kauli unazikumnuka?
 
Nahisi kuna tatizo ktk nchi yangu ya Tanzania,Mh Lissu aliwahi kunukuliwa kwenye Bunge la katiba kuwa hayati Mwl Nyerere alipora mamlaka huru ya Zanzibar,akaenda mbali kwa kuomba wazanzibar wadai haki yao,leo mtu yuleyule anahubiri vitu vingine ngoja tuone
Unachanganyikiwa. Humjui Lissu, huijui Katiba ya nchi na huifahamu kabisa Chadema. Unahangaika hovyo
 
80235df5b4cfbbde3bcd382d1c272c47.jpg


Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.

Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.

Nonsense
 
Back
Top Bottom