mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
Katiba ya ACT wazalendo inataka chama kifanye kongamano la kisera kwa mwaka mara moja.Hahaha. Kuishi kwingi kujifunza mengi. Kumbe ili kuitisha makongamano na mikutano mbalimbali lazima itajwe katika Katiba???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
CDM inajikurupukia tu, maana chama hakina ajenda kuu wanayoisimamia.