#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.
Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??
Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
Soma contents ktk picha hizo.
#ngorope ,kwa vile mshanusa kitambaa cha kiapo (cdm), hata ukweli hamuwezi kuutilia maanani.
Nawafananisha na Askari wa Hittler alokuwa akiwaamrisha kutembea gwaride la kurudi kinyumenyume wakiwa juu ya jengo ghorofa kumi. jamaa walitii,mistari saba yote ya askari ikaangukia chini paaap!! #ETI_NAO_WANATII ..Ajabu sana.
#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.
Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??
Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
Amejitambua, ameamua kuachana na akina "Mahaba Niue" !!!
Kweli mkuu amejitambua vilivyo kwa kuamua kujitoa ufahamu na kuwa miongoni mwa walamba viatu vya mafisadi View attachment 194297View attachment 194298