Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,517
- 30,587
Dogo ulipata kura ngapi kwenye ubungeUpumbavu hauna hekima. Wewe kuwa CHADEMA haikupi nafasi au maarifa ya kujua jinsi ya utawala unavyopaswa kuwa.
Dogo ulipata kura ngapi kwenye ubungeUpumbavu hauna hekima. Wewe kuwa CHADEMA haikupi nafasi au maarifa ya kujua jinsi ya utawala unavyopaswa kuwa.
Unapenda ujue elimu ya mtu ili iwe nini kwako? Elimu inatoa mwanga hususani kwa watu vipofu mfano na wewe unaependa kuendeshwa kwa hisia pasipo ukweli uliopo.
Mimi nimetoa maoni yangu kwa uzoefu na mambo mengi niliyopata kuyafahamu kutokana elimu yangu ya WATU HURU.
Unajifanya unamkubali Nyerere wakati CHADEMA kimfumo wa utawala imeweka imani kwenye UBEPARI ambao ni kinyume na imani ya Nyerere (UJAMAA). Unapata wapi na nguvu ipi ya kumnukuu maneno machache Nyerere kama DEFENCE MECHANISM yako kwa moja yako dhaifu; ikiwa wewe ni MBEPARI?