CHADEMA, Vijana someni sana ili kuongeza ufahamu

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
13,586
2,000
Unapenda ujue elimu ya mtu ili iwe nini kwako? Elimu inatoa mwanga hususani kwa watu vipofu mfano na wewe unaependa kuendeshwa kwa hisia pasipo ukweli uliopo.

Mimi nimetoa maoni yangu kwa uzoefu na mambo mengi niliyopata kuyafahamu kutokana elimu yangu ya WATU HURU.

Unajifanya unamkubali Nyerere wakati CHADEMA kimfumo wa utawala imeweka imani kwenye UBEPARI ambao ni kinyume na imani ya Nyerere (UJAMAA). Unapata wapi na nguvu ipi ya kumnukuu maneno machache Nyerere kama DEFENCE MECHANISM yako kwa moja yako dhaifu; ikiwa wewe ni MBEPARI?

Elimu ni ufunguo wa maisha. Yaonyesha ungali kifungoni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom