CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

Mmekuja na será mpya ya Kununua

Ova
 
Ccm tuwe makini chadema wameanza kutuma mapandikizi
 
Ndio Sera ya CCM iliyobaki...

Watu wapo gizani umeme hakuna...

Wagonjwa wanajazana kwenye Meli ya kichina...

Wao wanaona sawa tu..

Wameshapoteza Dira...

Wajuzi wa mambo wameshaliona hilo..

Kwa taarifa yenu Chadema pamoja na upinzani wote kwa ujumla wako vizuri sana kimkakati kuliko wakati mwingine wowote ule...
 
Ninaamini kuwa hakuna awezaye kuiua Chadema kwa kuondoka kwake. Kama mmeshaanza kumuwania sidhani kama mtamkosa. Ni aheri ahamie huko kuliko kumpelekea wasiojulikana. Siku hizi mmeamua kuwaambia wachague viwili, kupokea hela hata kama kidogo waendelee kuishi au wazikatae wapokee wasiojulikana
 
Anayenunua ni Boss anayenunuliwa ni mtumwa so. Wapinzani ni watumwa wa CCM na inatupa picha kwamba Wapinzani hawana mfumo mzuri wa uongozi. Yaani mpaka unanunuliwa. Siasa ni Ideology.

..sasa huyo mfuga watumwa au mnunua watumwa KIMAADILI ni mtu mbaya zaidi.

..Mtumwa inawezekana kuwa uonyonge na umasikini wake umesababisha akubali kuwa Mtumwa.

..Sasa huyo bwana amesukumwa na nini mpaka kuwashika wenzake utumwa? Bila shaka atakuwa ni mtu aliyekosa UTU na asiyethamini HESHIMA YA MWANAADAMU.

..kama siasa ni ideology basi watu hawapaswi kununuliwa ili kufuata ideology husika.

..Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere hawaku akishawishi watu kwa fedha ili kujiunga na chama au kumuunga mkono.
 
Haya buana
 
Back
Top Bottom