CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

Lisemwalo lipo kama halipo linakuja- Wahenga
 
CHADEMA imekanusha tetesi zinazosambazwa kuwa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika amejivua uanachama wa chama hicho.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kimesema wanaozisambaza taarifa hizo ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya hali ya maisha ya Watanzania.

View attachment 643649

Ajitokeza mwenyewe J. Mnyika hadharani kupinga na siyo kumsemea!
 
Hata akijivua uanachama halitakuwa kosa kwa sababu ni haki yake kabisa kikatiba.
Pengine jambo la kujiuliza tu ni sababu zilizopelekea kuchukua maamuzi hayo, ili kama kunatatizo liweze kutatuliwa kwa ustawi wa chama anakotoka.
 
Mnyika kuhama chama hizi habari hazijaanza leo.

Nakumbuka kuna MTU alisema Mwigamba&Kitila-Zitto-Dr.Slaa next John ni muda kidogo kipindi kile kulikuwa na uvumi wa ukabila.

So haitakuwa habari mpya saana zaidi tutajua kama sio story zile basi kawakimbia
Popote ulipo tupo na 4u movment
 
Muwe mnatumia letter head za chama kukanusha.
Jamani maandishi ni kitu muhimu ndio maana mkawa na ofisi.
Vinginevyo kuna watu watasema ninyi mnafanya kazi zenu kihuni huni.
cc. KATIBU
Kuna Taarifa kutoka ya Moja ya Mtandao umeripori kuwa John Mnyika (MB) Amejivua Uwanachama wa Chadema Taarifa hizo si za kweli na John Mnyika anaendelea na Majukumu yake ya Kichama na Kibunge kama Kawaida
View attachment 643122
 
HATUONGEI kuhusu kilimo tena. Hatuongei kuhusu upatikanaji wa maji. Hatuongei kuhusu umeme wenye kikohozi. Hatuongei kuhusu walimu waliokata tamaa. Siyo madini, utalii, elimu. Tumechagua kuongea kuhusu NANI amehama kambi moja ya siasa kwenda nyingine. WEZI.
 
Toja lowasa ahamie cdm mnyika alinyamaza, kaja kuanza kuongea juzi hapa
Yakipita masaa 48 bila ya yeye mwenyewe kutoa taarifa hata ktk ac yake mojawapo ya mitandao ya kijamii ujue ameshaenda au yupo njia panda. Usimwamini mwanasiasa yoyote unless amekufa na umetizama sura yake ya mwisho. Mnyika ni mwanasiasa mahiri.
 
Ila CDM wanachekesha kabisa mtu anasema AKIONDOKA LISU NDIO NITAJUA CDM imekufa tafsiri yake hapa kwamba yaaani wale wengine wote waliobaki wanaweza kuondoka mda wowote ule maana maisha yao labda yanaonesha hivyo
 
Dhambi ya watu wasiojulikana itatesa sana watu
Nimejaribu kufuatilia maandiko yako lakini nashindwa kuamini Kama kweli ni Mwanahabari Huru, naona kama mchumia tumbo wa upande wa ufipa, kwa kuwa sijaona kwa muda wowote wa miaka miwili niliyofuatilia maoni na michango yako Mbalimbali ya jamii forum ukichangia hata jema lililofanywa na Serikali hii, sasa sijui kama kweli hakuna jema hata moja ambalo Serikali ya awamu ya tano imefanya. Napata ukakasi na uanahabari wako huu, sema unafanya kazi za watu ili watoto au mwenyewe uende chooni tu.
 
Kaka wa Taifa alisema waoga wote wataondoka Chadema. Watakaobaki ni wale wasioogopa . maana yake mlango uko wazi kwa waoga kuondoka. Hakuna jinsi ya kuwazuia waoga kuondoka.
 
Nimejaribu kufuatilia maandiko yako lakini nashindwa kuamini Kama kweli ni Mwanahabari Huru, naona kama mchumia tumbo wa upande wa ufipa, kwa kuwa sijaona kwa muda wowote wa miaka miwili niliyofuatilia maoni na michango yako Mbalimbali ya jamii forum ukichangia hata jema lililofanywa na Serikali hii, sasa sijui kama kweli hakuna jema hata moja ambalo Serikali ya awamu ya tano imefanya. Napata ukakasi na uanahabari wako huu, sema unafanya kazi za watu ili watoto au mwenyewe uende chooni tu.
Huyo jamaa ni miongoni mwa wanaofanya waandishii wa habari waonekane VILAZA.
 
Nimejaribu kufuatilia maandiko yako lakini nashindwa kuamini Kama kweli ni Mwanahabari Huru, naona kama mchumia tumbo wa upande wa ufipa, kwa kuwa sijaona kwa muda wowote wa miaka miwili niliyofuatilia maoni na michango yako Mbalimbali ya jamii forum ukichangia hata jema lililofanywa na Serikali hii, sasa sijui kama kweli hakuna jema hata moja ambalo Serikali ya awamu ya tano imefanya. Napata ukakasi na uanahabari wako huu, sema unafanya kazi za watu ili watoto au mwenyewe uende chooni tu.
huyu anaitwa Steven Mmbogo, alikuwa muhasibu wa chadema makao makuu. Mke wake ni mbunge viti maalum chadema, hivyo analea kibarua cha mama maana ndio anapunguza makali ya njaa nyumbani kupitia ubunge wa viti maalum. Hivyo asikusumbue sana.
 
Siyo mnyika tu chadema ni Academ Kama ya ajax amsterdam ambayo hua inalea watoto na kuwauzia club kubwa za ulaya ,chukueni mnyika na wengine mnaowataka lkn kaeni mkijua cdm ni taasis kubwa na hazina ya vijana wanaotumia akili kubwa sio matumbo kama uvccm
Ni taasisi gani inamilikiwa na mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom