Mku huku kwetu hata umlete nani jibu ni bado Watanzani wanatudai na elimu ya uraia imeshamwingia mwananchi jibu ni bei na mwisho wa bei ni nini tena kipya. Mdaiwa ni Shari kulipa deni na deni lenyewe watanzania wanataka maisha ya Botswana Je tunaweza kuwapatia hayo maisha kama ni hapana basi hata bei haina maana. Lakini tuko ktk gari mojaSiku wakimpata huyu mesi wetu,watavunja kibobo cha bank kuu,na ccm itafilisika rasmi