CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

CHADEMA: Usahihi Wa Taarifa Kuhusu John Mnyika

Sasa hivi wangalau Lissu akihama ndio nitashtuka. Hao wengine kuanzia Mbowe nk wala sintoshangaa au kuumia.
 
Umeongea nae?? Maana huwa hata mvua za mawe huanza kwa lashalasha hivihivi..
Maana hawa wanasiasa wakati mwingine hawaminiki ......
Na mnyika akihama chama itabidi wapiga kura wake wakakeshe kwake

Ova
 
Naona magu yupo bank anajipanga kumchukua yuhu bonge la forward, Mr slowslow ni kama scaut vile
 
siasa za msimu huu wa 2015-2020 ni ngumu sana kuzielewa,
Wananunuliwa au wanakubali kazi kwa vile no wazalendo halisi.
 
Nahis hata meya wa jiji kubwa yupo njiani kwenda ccm
 
lisemwalo lipo...kama halipo.........
aisee kazi mnayo wanasiasa waTZ.
 
Ukimya wake tangu wakati wa ujio wa lowassa unaonyesha tu yupo kama yupo anavumilia tu so anaweza asitoke lakini tumesha shangaa sana na huo ukimya
 
Inasikitisha na kushangaza kuona kwamba ccm ya Leo inaona ni ufahari mkubwa sana kurubuni na kupata mchezaji wa CDM/CUF.

Yani hapa inakiri kuwa ccm inawachezaji mizigo na wachezaji wazuri ni lazma inunue wa timu pinzani ili iweze kusonga mbele.

Kwakweli CDM imeweza kuwajaza CCM na wamejaa hasa. Tukaze tu watazidi kukatika na kupoteana.
 
Mwanzoni taarifa ya Wema Sepetu pia ilikanushwa kiaina, halafu ikaja kuthibitika kinyume cha kanusho.
Haya mambo sikuhizi hayaeleweki, na wanasiasa wetu hawadhaminiki.
 
Inasikitisha na kushangaza kuona kwamba ccm ya Leo inaona ni ufahari mkubwa sana kurubuni na kupata mchezaji wa CDM/CUF.

Yani hapa inakiri kuwa ccm inawachezaji mizigo na wachezaji wazuri ni lazma inunue wa timu pinzani ili iweze kusonga mbele.

Kwakweli CDM imeweza kuwajaza CCM na wamejaa hasa. Tukaze tu watazidi kukatika na kupoteana.
Kwahiyo unathibitisha kwamba wabunge wetu wananunulika!
 
Back
Top Bottom