Chadema Ukerewe yambulia patupu

Chadema Ukerewe yambulia patupu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11986562_1044568785555779_6029071370879089033_n.jpg

Kampeni za ubunge na urais (Chadema) zikiendelea wilayani Ukerewe
 
[h=3]
11986562_1044568785555779_6029071370879089033_n.jpg
[/h]

Kampeni za ubunge na urais (Chadema) zikiendelea wilayani Ukerewe. Hali si nzuri kwa Ukawa baada ya Dr. Slaa kumlipua Lowassa.

Watu sasa wanamsubiri Dr. Magufuli aje kumaliza kazi.

Huu upigaji wa picha umejifunzia studio za gheto, yaani unampiga muongeaji tu bila kuonyesha anaongea na nani!? Kwa picha hii unataka kutuambia anaongea mwenyewe?
 
Kitengo cha propaganda nadhani kipo field training! Tumekusikia....ila usisahau mabadiliko yanaanza na mtu mmoja ambaye ndo huyo kwenye picha
 
Huyo ni Ustaz anatoa mawaidha kwa hadhira na kuhusu gari hiyo ni ya matangazo ina move sehem mbalimbali
 
Kitengo cha propaganda nadhani kipo field training! Tumekusikia....ila usisahau mabadiliko yanaanza na mtu mmoja ambaye ndo huyo kwenye picha
Bado sana. Hii ni rasha rasha tu, subiri MASIKA
 
Huu upigaji wa picha umejifunzia studio za gheto, yaani unampiga muongeaji tu bila kuonyesha anaongea na nani!? Kwa picha hii unataka kutuambia anaongea mwenyewe?
Ukawa sasa unawaita ghetto, very sad to know
 
Rubbish, kwani Slaa ni MUNGU? Ni binadamu tu anayekufa na kuoza, hatutishi huyo. Mwache aende zake.
God has nothing to here and stop panicking. Get ready, October 25 is the day of Judgment to Fisadi
 
[h=3]
11986562_1044568785555779_6029071370879089033_n.jpg
[/h]

Kampeni za ubunge na urais (Chadema) zikiendelea wilayani Ukerewe. Hali si nzuri kwa Ukawa baada ya Dr. Slaa kumlipua Lowassa.

Watu sasa wanamsubiri Dr. Magufuli aje kumaliza kazi.

Kwani ukerewe wanaish nako banadamu? Na hiyo ukrewe iko wap hapa duniani?
 
uyo jamaa acidanganye ukerewe chadema inakubalika kwani Jana tumefungua kampeni zetu rasimi natumefungulia muriti mkutano ulifana vibaya ataukifananisha na ufunguzi wao ccm walikosa watu kabisa isiookua wao walibeba watu kutoka kila kata na pia walianza kufarakana kutokana na waliobebwa toka asubuhi hadi jioni awakupewa chakula wakati waliaidiwa. Viva ukawa viva chadema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom