Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama
Sasa hivi neno maandamano limekuwa chungu mdomoni mwa MACHADEMA
Mkuu, Mbowe karudi juzi na jana kahojiwa na BBC hata anachoongea hakieleweki. Nadhani alikuwa na hanging over za starehe za south.
Mbowe ni.kawaida yake kuongea pumba.. Ngoja kesho tuone kama ataandamana
Mimi nilikuwa nadhani Chadema ipo ndani ya UKAWA kumbe UKAWA na Chadema ni vyama viwili tofauti.Chama Cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA & UKAWA watakuwa kwa medani za jiji la Mwanza kesho kati ya hawa watakuwepo MBOWE, PROF SAFARI, LISU na MNYIKA medani ni kati ya FURAHISHA & MIRONGO PRIMARY. "UKAWA TUMAINI LETU"
====================
UPDATES
hawa ni baadhi ya watu waliopo mkutanoni
Mh! polisi walikuwa wanawasindikiza?? inamaana agizo la Chagonja hali apply huko? au ndo kusema wamemdharau boss wao??
Hali hiyo imejitokeza mkutano ulipomalizika ndio wanachama na wapenzi wa chadema walipoingia barabarani na kuanza maandamano huku wakiimba nyimbo za chama, Na kusukuma gari walilopanda viongozi wa chama. Na polisi wakiwasindikiza,
Hiyo damu kamwage na wenzako huko migombani kwenu mwehu wewe.Nchi yetu lazima tuikomboe kwa jasho na damu zetu, hongereni makamanda wa Mwanza