CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama

Bado kwenda na Dada yako tu ili umwite shemeji,au umwone anatoka kavaa khanga ya mamiyo akienda kuoga.
 
Viwanja vya mbugani vimejaa watu ni wengi sana hadi nafasi hakuna. Nnyika, Salum Mwalimu na Parobass Katambi wamefika sasa na uwanja unaendelea kujaa hakika Mungu ni taa ya UKAWA.
 
Watu no wengi napiga picha wengine wako nyuma yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…