..Dr.Slaa ha kuchukua fomu.
..inasemekana cc ya cdm ilimpendekeza.
..sasa cc ya cdm imempendekeza Lowassa badala ya Dr.Slaa.
..pia inaelekea nccr na cuf wamemkubali Lowassa kuliko ambavyo cdm wamemkubali.
..halafu kuna zile tetesi kwamba cuf hawamtaki Dr.Slaa. Huenda ni ukweli. Labda tujiulize fomu aliyochukua Prof. Lipumba imepotelea wapi? Je, Prof wakati anachukua fomu hakujua kwamba anayepaswa kugombea kupitisha ukawa ni Dr.Slaa?
..inawezekana Lowassa anawaunganisha Ukawa kuliko ambavyo Dr.Slaa angewaunganisha.
. Mkandara, Susuviri, Nguruvi3, Mag3, King Suleiman
..
Jokakuu:
lol naona umejikita kwenye tetesi. Nadhani wapinzani nao wameanza kuwa pragmatic. Nikiangalia kura za maoni za wabunge, mikutano ya CDM ina wapiga kura 200, wakati CCM wana 1000. Namba hazidanganyi. Wapinzani wanaweza kuwa very vocal and committed, but if the fail to overcome numerical advantage during the election, they will go back where they started. Kama Lowassa anatibua namba ya wapiga kura wa CCM, inawezekana wapinzani hawakutaka maumivu.
Endapo hawana idadi, kuna la kujiuliza. Je, zile opereshenizilikuwa ‘bonanza'?..inabidi tujikite kwenye tetesi maana mambo yenyewe yanaendeshwa kama enzi za Soviet Union.
..umezungumzia suala zuri sana kuhusu kama cdm wana numerical advantage over ccm.
..hoja yako ingekuwa na majibu kama idadi ya wanachama wa cdm nchi nzima ingekuwa inajulikana.
..cdm wamekuwa ktk harakati za kuwaelimisha wananchi kuhusu ufisadi na mabilioni yanayotafunwa kwa miaka karibu 10 sasa.
..Je kwa kampeni na harakati hizo wameweza kuandikisha wanachama kiasi gani?
.
Mkuu unapoongea vitu lazima uwe na uhakika navyo, tafadhali sanaMkuu maneno haya sio kweli, Ofisi ya Chadema ilifungwa baada tu ya Lowassa kuchukua fomu na hakuruhusiwa mtu mwingine yeyote kuchukua fomu ya Urais, hivyo kupendekezwa kwa Dr.Slaa wakati uchukuaji fomu bado haujatangazwa rasmi haina maana yoyote. Chadema wametuonyesha mfumo mbovu kuliko hata ule wa CCM kuengua watu na kamati ya maadili jambo ambalo mimi naona CCM wameboresha mfumo wao zaidi ili kupata viongozi wenye sifa, zamani hapakuwa na sifa isipokuwa mwenye umaarufu na uwezo wa ku deal na matatizo!
.
Ebu wewe tupe Uhakika ulikuwa vipi kama kuna mgombea aloruhusiwa kuchukua fomu ya Urais Chadema? mimi nasema kwa sababu najua hilo limetokea na limepangwa nje kabisa ya taratibu za chama kwa miaka yote. Je, unajua kwamba hata Dr.Slaa amepinga kumpa mtu huyu nafasi hiyo pasipo masharti ama kufuata utaratibu wa kikatiba?Mkuu unapoongea vitu lazima uwe na uhakika navyo, tafadhali sana
Uwe na uhakika na unachosema na si kutumbukiza hisia zako.Please
Mkuu maneno haya sio kweli, Ofisi ya Chadema ilifungwa baada tu ya Lowassa kuchukua fomu na hakuruhusiwa mtu mwingine yeyote kuchukua fomu ya Urais, hivyo kupendekezwa kwa Dr.Slaa wakati uchukuaji fomu bado haujatangazwa rasmi haina maana yoyote. Chadema wametuonyesha mfumo mbovu kuliko hata ule wa CCM kuengua watu na kamati ya maadili jambo ambalo mimi naona CCM wameboresha mfumo wao zaidi ili kupata viongozi wenye sifa, zamani hapakuwa na sifa isipokuwa mwenye umaarufu na uwezo wa ku deal na matatizo!.
Mimi naomba tuutazame ukweli nao ni kwamba Dr.Slaa alihama CCM kwa sababu ya kundi hili hili la Mtandao mwaka 2005. hawa walichagua watu wao na kuwasimamisha hivyo yeyote ambaye hakuwa nao walimtosa kwa sababu walikuja kuchuma na wamechuma kweli kweli. Na ikumbukwe pia kwamba kama mwaka 2005 jina la JK lingeenguliwa kundi hili lingekuja CHadema na hivyo utawala mzima wa JK na ubovu wake ungekuwa wa Chadema sio CCM. na hii ndio hali halisi.i
Nani amefunga ofisi, lini na sababu zipi , kwa amri ya nani? Tunachotaka ni habari zenye uhakikaEbu wewe tupe Uhakika ulikuwa vipi kama kuna mgombea aloruhusiwa kuchukua fomu ya Urais Chadema? mimi nasema kwa sababu najua hilo limetokea na limepangwa nje kabisa ya taratibu za chama kwa miaka yote. Je, unajua kwamba hata Dr.Slaa amepinga kumpa mtu huyu nafasi hiyo pasipo masharti ama kufuata utaratibu wa kikatiba?
Huu ni mpango mpya baada ya maridhiano ya viongozi wa Chadema na Lowassa. Kwa hiyo ni bora wewe nisahihishe kuliko kuhoji Uhakika wangu wakati wewe mwenyewe huna uhakika. Leo unaye Supreme Leader unaanza kubabaika eeeh!
Mkuu hiki ni kiswahili cha Mjini tu kufunga Ofisi haina maana nyingine zaidi ya kwamba fomu zilikuwa hazitoki yaani meza ya kutoa fomu za Urais haikuwepo!Nani amefunga ofisi, lini na sababu zipi , kwa amri ya nani? Tunachotaka ni habari zenye uhakika
Mag3 kamwambia mtu hapo juu, bilioni 10 ni umbea na hapa simahali pake.
Huyo aliyeleta bilioni 10 naye alikuwa anajua kama wewe
Tunasema hivi kwasababu hatutaki mijadala ya majungu jungu tu ya kusikia
cc Molemo
Kwani fomu zinatolewa chini ya madaraka ya nani? Mwenyekiti,Katibu, au nani?Mkuu hiki ni kiswahili cha Mjini tu kufunga Ofisi haina maana nyingine zaidi ya kwamba fomu zilikuwa hazitoki yaani meza ya kutoa fomu za Urais haikuwepo!
Wee sio ndio unaujua ukweli, unaniuliza miye ili iweje? Nasema fomu za Urais hazikutoka Dr.Slaa aliweka nia lakini hakuchukua fomu wala hakupewa hata kaa angetaka!.. Lowassa ni Supreme Leader hataki kushindana na mtu yeyote ni moja ya mashatri yake yeye. hamtaki anaondoa Mabillioni yake..Kwani fomu zinatolewa chini ya madaraka ya nani? Mwenyekiti,Katibu, au nani?
Bibie hiyo ni taarifa tu ilitolewa lakini ukweli ni kwamba nafasi ya rais haikuwa hivyo. hapakuwepo na ugombeaji wa nafasi hiyo ndani ya Chadema isipokuwa uchaguzi wa mtu mmoja tu kama walivyofanya CUF na Lipumba aloweka nia. hapakuwepo na kiako cha aina yeyote kujadili majina ya wagombea kwa sababu fomu hazikutoka hiyo ndio ukweli kama nasema uongo nambie majina ya watu walochukua fomu na kurudisha kabla ya tarehe 30 na 25. Chadema walikuwa wakisubiri tu mfadhili wao Supreme Leader japo mlitupiga pande humu tuamini Lowassa ni wa ACT..
Sasa unataka tukubali unachoandika wewe bila ushahidi wowote kuwa ndio ukweli? Mpaka hapo umeona uongo wako, ukweli ni kuwa nafasi ya uchukuaji wa form ya urais ulitangazwa, sasa kama watu walijitokeza wakanyimwa form au walitangaza kinafiki kinafiki hilo ni swala lingine ambalo linahitaji ushaidi.Mpaka hapo hoja ya @Jokakuu inasimama kuwa Dr. Slaa hakuchukua fomu.
Na kama unakumbuka unajua kwamba walisema mgombea Urais atatangazwa week moja baada ya uchaguzi wa CCM, lakini walipoahihisha nao wakaahirisha hadi baada ya CCM kumtangaza. sasa basi kama kuna ukweli wowote basi tuone Lipumba akigombea na Lowassa au nayo imefanyika nyuma ya pazia?.. Chadema sasa hivi wamejaa WANAFIKI watupu walikataa kuwa Lowassa hakukutana na viongoziwa Chadema na wala hatapokelewa. Mbowe aliwahi kusema over his dead body, sasa imekuwaje?.. .
Mbowe/Chadema si Msaafu au Biblia kuwa watakachosema hakibadiliki, hawa ni banadamu kama mimi na wewe wanabadilika kutokana na mazingira na hali halisi. Na kosa si kusogeza mbele utangazaji wa mgombea urais bali kosa kama wasingetangaza mgombea urais. Sasa kama unatangaza mgombea urais leo au mwezi ujao hiyo si hoja, hoja ni je umemtangaza mgombea urais???
Samahani kuhusu mwaka alohama Dr.Slaa lakini ukweli ni kwamba mtandao huu umekuwepo toka Enzi ya Mwiyi sema tu Mwalimu Nyerere alishindwa kuwadhibiti na ndio maana ukisikiliza hotuba yake ya NEC kmwaka huo 1995 utajua nili maanisha nini. Mimi binadamu nakosema sana katika maandishi yangu na hujichanganya vile vile lakini lengo langu ni kuonyesha kwamba hawa watu hawana nia njema kabisa na nchi hii..
Sasa kama wewe unakosea kiubinadamu jambo ambalo sina tatizo lao, je Mbowe/Dr.Slaa hawaruhusiwi kukosea kiubinadamu?
Mkuu Mkandara, umeshindwa kuthibitisha madai yako kuwa ofisiza CDM zilifungwa.Wee sio ndio unaujua ukweli, unaniuliza miye ili iweje? Nasema fomu za Urais hazikutoka Dr.Slaa aliweka nia lakini hakuchukua fomu wala hakupewa hata kaa angetaka!.. Lowassa ni Supreme Leader hataki kushindana na mtu yeyote ni moja ya mashatri yake yeye. hamtaki anaondoa Mabillioni yake..
Mkuu Mbowe mshikaji,, siwezi simama hapa kusema ovyo pasipo sababu wala kuchukia hatua alizochukua na siwezi kumbadilisha. Yeye kawambieni mtakuja kumwelewa baadaye sasa nyie subirini kumwelewa..
Sikusema haikutangazwa siku ya kuchukua fomu, nilichosema ni kwamba Fomu hazikutolewa sasa kama wewe unao ushahidi fomu ziliztoka na watu wakachukua uweke hapa ndio utasema mimi muongo.Sasa unataka tukubali unachoandika wewe bila ushahidi wowote kuwa ndio ukweli? Mpaka hapo umeona uongo wako, ukweli ni kuwa nafasi ya uchukuaji wa form ya urais ulitangazwa, sasa kama watu walijitokeza wakanyimwa form au walitangaza kinafiki kinafiki hilo ni swala lingine ambalo linahitaji ushaidi.Mpaka hapo hoja ya jokaa Kuu inasimama kuwa Dr. Slaa hakuchukua fomu.
Swala tunazungumzia hapa sio kutangaza jina la mgombea bali utaratibu wa kuchukua fomu haukutokea kwa Dr.Slaa kama alivyosema JokaKuu ya kwamba Dr.Slaa aliombwa achukue fomu na hakufanya hivyo, ukweli ni kwamba hakupewa wala hakuruhusiwa iliandaliwa kutazamia matokeo ya CCM kwanza, kama Lowassa atamwagwa au laa - Walikusudia..Mbowe/Chadema si Msaafu au Biblia kuwa watakachosema hakibadiliki, hawa ni banadamu kama mimi na wewe wanabadilika kutokana na mazingira na hali halisi. Na kosa si kusogeza mbele utangazaji wa mgombea urais bali kosa kama wasingetangaza mgombea urais. Sasa kama unatangaza mgombea urais leo au mwezi ujao hiyo si hoja, hoja ni je umemtangaza mgombea urais???
Bibie mimi nakosea katika maandishi yangu badala ya kuandika mwaka 2005 wakati nilimaanisha mwaka 1995, haina maana inaondoa hoja ama maana ya kile nilichokusudia kusema. Hili swala la kumtangaza Lowassa kama mgombea mmoja pasipo kushindanishwa tena kwa matakwa yake na masharti yake sio la makosa, ila ni mpango maalum wenye nia na lengo la kuhakikisha Lowassa anapita bila kupingwa..Sasa kama wewe unakosea kiubinadamu jambo ambalo sina tatizo lao, je Mbowe/Dr.Slaa hawaruhusiwi kukosea kiubinadamu?
Sikusema haikutangazwa siku ya kuchukua fomu, nilichosema ni kwamba Fomu hazikutolewa sasa kama wewe unao ushahidi fomu ziliztoka na watu wakachukua uweke hapa ndio utasema mimi muongo.
Swala tunazungumzia hapa sio kutangaza jina la mgombea bali utaratibu wa kuchukua fomu haukutokea kwa Dr.Slaa kama alivyosema JokaKuu ya kwamba Dr.Slaa aliombwa achukue fomu na hakufanya hivyo, ukweli ni kwamba hakupewa wala hakuruhusiwa iliandaliwa kutazamia matokeo ya CCM kwanza, kama Lowassa atamwagwa au laa - Walikusudia..
Bibie mimi nakosea katika maandishi yangu badala ya kuandika mwaka 2005 wakati nilimaanisha mwaka 1995, haina maana inaondoa hoja ama maana ya kile nilichokusudia kusema. Hili swala la kumtangaza Lowassa kama mgombea mmoja pasipo kushindanishwa tena kwa matakwa yake na masharti yake sio la makosa, ila ni mpango maalum wenye nia na lengo la kuhakikisha Lowassa anapita bila kupingwa..
Hivi umesoma ulichokiandika au unataka kubishana na bibie Alinda? Hizo fomu zitatokaje kama hakuna mtu aliyekwenda kuziomba/kuzichukua? Tangazo lilitolewa, hakuna mtu ambaye alikwenda kuchukua fomu, sasa wewe unataka nikuonyeshe watu waliokwenda kuchukua fomu?????????? kweli?
Unataka Dr. Slaa aombwe na nani kuchukua fomu? Na Dr. Slaa ana cheo gani ndani ya Chadema? Au unachotaka kutwambia kuwa Mbowe alimficha Dr. Slaa fomu? (kama ni hivyo hizi ndizo fitina nilizosema?
Nilichokwambia kama wewe unakosea, kama binadamu je na wengine wasikosee?