CHADEMA/UKAWA, mtawapokea Chenge na Rostam pia?

CHADEMA/UKAWA, mtawapokea Chenge na Rostam pia?

Mmejiandikisha lakini au mnapiga domoo tuu hapa ikifika oktober mnabana p,.,,/.,;uu tuu.
mjiandikishe kwanza ili muwe na sauti ya kura
 
Sasa lowassa kafungua njia subiri hayo mafuriko kuanzia kesho.
 
16217_912487988784388_7753449423875383505_n.jpg
 
Mkuu umemsahau LEMA

Haha.., yule lapdog wa mbowe.., hana usemi.., kichwani hamna itu pale.., Ila Mnyika, na Slaa roho inaniuma sana, hawa ni wapinzani halisi katika siasa za TZ, wliokuwa wanajua wanachokifanya...,ila ndio hivyo tena washaingizwa mkenge
 
Inajulikana kuwa hawa ni marafiki walioshibana ndani ya CCM na hata katika maisha ya kawaida. Ikiwa swahiba wao Lowassa atahamia CHADEMA/UKAWA, wanaweza nao kumfuata rafiki yao.

Sasa ndugu zangu CHADEMA/UKAWA, mtakuwa radhi kuwapokea Andrew John Chenge na Rostam Aziz kuwa wanachama wenu?

Jibuni ili umma ufahamu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam


Rostam akihama huko wanamvua uraia ............ hao ndiyo CCM!!
 
Inajulikana kuwa hawa ni marafiki walioshibana ndani ya CCM na hata katika maisha ya kawaida. Ikiwa swahiba wao Lowassa atahamia CHADEMA/UKAWA, wanaweza nao kumfuata rafiki yao.

Sasa ndugu zangu CHADEMA/UKAWA, mtakuwa radhi kuwapokea Andrew John Chenge na Rostam Aziz kuwa wanachama wenu?

Jibuni ili umma ufahamu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam


Kwa taarifa yako hata mgombea wenu wa uraisi magufuli ni UKAWA kupitia CHADEMA
 
Thibitisha uchafu wake mbona kama chuki binafsi hivi na kama mlikuwa mnashindwa kumshughulikia kwa sababu ya kichaka alichokuwepo sasa ni muda sahihi mwizi katoka kichakani yuko in plain site nadhani ni rahisi sasa kwa vyombo vya dola kula kichwa vinginevyo ni uzushi tu kusema mchafu.

Akiwa sisiem mchafu akienda ukawa msafi !!!!!!! imekula kwenu.

ukawa ni wanafiki.
 
Moja ya mambo yaliyochelewesha Lowassa kujiunga na CDM ni kuandaa mkataba maalum. Mkataba huo ambao umekubaliwa na CDM una masharti yafuatayo:-
1. Kama atashindwa kuukwaa Urais atalipwa sawa na mbunge kwa mshahara na marupurupu.
2. Atahama na watu muhimu 20, ambao watapewa majimbo ya kugombea moja kwa moja.
3. Kama atashinda, baadhi ya hao ishirini watakuwa mawaziri.
4. Watakao baki watashika nafasi nyeti za uteuzi.
5. Awe huru katika uteuzi na apatiwe nafasi ya juu katika chama.
 
Back
Top Bottom