VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Inajulikana kuwa hawa ni marafiki walioshibana ndani ya CCM na hata katika maisha ya kawaida. Ikiwa swahiba wao Lowassa atahamia CHADEMA/UKAWA, wanaweza nao kumfuata rafiki yao.
Sasa ndugu zangu CHADEMA/UKAWA, mtakuwa radhi kuwapokea Andrew John Chenge na Rostam Aziz kuwa wanachama wenu?
Jibuni ili umma ufahamu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Sasa ndugu zangu CHADEMA/UKAWA, mtakuwa radhi kuwapokea Andrew John Chenge na Rostam Aziz kuwa wanachama wenu?
Jibuni ili umma ufahamu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam