CHADEMA UK yapata uongozi mpya

Boss chadema UK ndio walimnun ulia hiyo keki au huoni rangi za chadema kwenye hiyo 5?

Umeambiwa uweke picha inayomuonyesha akiikata hiyo keki si suala la rangi za Chadema kwani wanachama wengine hawafanyi sherehe za kuzaliwa?? Hata hivyo Mtu yeyote anaweza kutengeneza keki kwa staili yoyote kwakuwa rangi zinapatikana tu madukani.

Kama si umbea unakusumbua ungeshaweka picha inayomuonyesha akikata keki lakini hzi danadana unazopiga hapa ni dhahiri kuwa wewe ni apeche alolo.
 

Nakubaliana na wewe,kujadili hoja imekuwa ngumu sana JF zaidi ni personal attack na ushabiki mwingi.Inatupasa tubadilike kwa manufaa yetu na jukwaa letu hapa JF
 
Hongereni makamanda fanyeni kazi kwa moyo mmoja tupo pamoja hapa Tz
cdm ndio tegemeo la Watanzania wote maskini na wanyonge
 
kufukuzwa kubaya saaana LUKOSI halali anakesha kwenye google kutafuta keki ya kupachika humu pole sana inaonesha usivyo makini.I feel sory 4 ur family mtu anayekuita dad au husband bonge la hasara Chadema imekutesa sana tender ya tbs vp uliyohaidiwa na ccm mmmh kazi unayo.
 
Hebu niambie.Katibu UK uongozi uliopita kabla ya uchaguzi alikuwa nani?
 
Pamoja na kwamba ni kitambo kirefu kidogo , polisi wa tanzania wanatamani waizingire nchi ya watu , ila uwezo hawana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…