ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Mkuu hawajapata chopa iliyopaki apige NAyo picha.
Halafu nyomi ya watu nane bar haifai kuweka picha. Si unajua watu wamewashitukia hawa jamaa siku hizi.
Wengi walifuata nyayo za Lukosi kurudi NYUMBANI ndio maana huoni picha
Sasa hii inahusiana nini na swali langu nililomuuliza mchonga. Ninafikiri umeandika ukiwa unaota. Wake up!.
Kwani Ni Siri ?Unaona raha mwenye kutaja taja kama hao jamaa ni vijana wako? Kwa hyo umewatuma waje wawe Pm7?
Yuleilibidi apimwe akili baada ya kutoa ile statement. Kwake yeye maendeleo inamaana Barabara, yupo kama bosi wake ambaye amedifine maendeleo kuwa Traffic Jam! So tukiona Traffic Jam tu basi hapo tujue ndo tumeendelea.Hongereni wakuu ila naomba mje kwanza Bongo muangalie barabara na miundombinu msije mkawa kama yule wa kwanza ambaye alikubali uongozi ila alipokuja bongo na kuona barabara za mbagala to kurasini ina mabonde akasema hakujua kama bongo ina barabara nzuri kama hii. akaachia uongozi na kurudi CCM
Kweli mkuu utakuwa umeiweka cdm UK katika hali ngumu sana. Maana nimeshangaa kuona tawi kubwa kama London wanareserve meza moja hotelini kufanya uchaguzi.
Picha za Mnyika hazionekani kabisa.
Nakumbuka enzi zake pale Thatched House Barking tuliona picha zote live kila kitu. Ila siku hizi ni cdm uvunguni. Wanaweka picha ya mwenyekiti wa bavicha mwenye miaka 45 hahahahahaha
Ni kheri kuwa na makamanda 8 walio committed watakaofanikisha mipango ya chama kuliko kuwa na mamluki 45 watakaovuruga mipango ya chama na kukatisha tamaa wapiganaji wengine.
We know for sure freedom is not free.
Mkuu mchonga mbona habari nusu nusu. Naomba utujuze, viongozi wapya walikuwa wanachuana na kina nani?.
Mbona hawa viongozi wa Bavicha wote wakongwe.
Mzee na Mlevi kupewa ukatibu (au uongozi) wa vijana (BAVICHA) ni kuharibu dhana na maana nzima ya hiyo nafasi!Mkuu to be honest Huyo mwenyekiti ni jembe. When ur good ur good! Huyo Wa bavicha pia mtu safi Tatizo ni umri na kilaji, ukumbuke Kuwa hawa wote ni vijana wangu
Vijana hawana time na watu wa midomo midomo, wanataka vitendo.
Hawa wazee "wameshaoza" wanatafuta jinsi ya kurudi Bongo.
Yule binti mwenye bifu na Lema kachaguliwa nafasi gani?
Kijana wangu Huyo
ana miaka 45 ni mtu safi Tatizo lager