CHADEMA twazidi kujiimarisha

CHADEMA twazidi kujiimarisha

Wanajiundia wenyewe tu
Leo wanahamia kwa wakurugenzi wa almashauri kuwa wanaiba kura!
Sasa mbona akina Zito, Mbowe nk pamoja na lundo la madiwani nchi nzima walirangazwa washindi na wakurugenzi haohao!
Naona wewe ni mgeni sana wa siasa zetu hapa Tanzania
 
Safari hii ni Konki faya ACT ya Maalim isiyo na Migogoro na Chadema iliyojeruhiwa mbona patamu hapoo!!
 
Naona umejiunga jf kuitikia wito wa Ndugaye ili kuiokoa ccm mitandaoni lkn huna lolote unaloweza
Wanajiundia wenyewe tu
Leo wanahamia kwa wakurugenzi wa almashauri kuwa wanaiba kura!
Sasa mbona akina Zito, Mbowe nk pamoja na lundo la madiwani nchi nzima walirangazwa washindi na wakurugenzi haohao!
 
Ndo maana hasira zote wanaenda kumshushia mdude.
mddude anamatusi ya nguoni na wenyewe ndiyo walimteka ili kuharibu taswira ya mkuu wa nchi baada ya kutoka ziara ya mbeya
 
mddude anamatusi ya nguoni na wenyewe ndiyo walimteka ili kuharibu taswira ya mkuu wa nchi baada ya kutoka ziara ya mbeya
Sasa wewe umetoka kufanya nini?!!...soma comments zako kwanza ndio uanze lawama.
 
Naomba wachana na matusi maana hayajengi chochote zaidi ya kutafutiana ban
ndugu hebu niambie mtu kukuambia babayangu angepiga punyeto yaani mimi ningetapikwa nje kuliko kuingia tumboni mwa mama unajisikiaje msenge sana yule
 
Kuelekea chaguzi zinazo kuja na kuzidi kukiimarisha chama cdm tumeingiza pikipiki 200 ili kurahishisha usafiri kwa watendaji wetu ili tukiimarishe chama.
Hapa chini ni mzigo huoView attachment 1099082View attachment 1099083
Yaani vipikipiki 200 kelele nyingii kama wameleta Ndege ya Airbus. Vipi yale mabus aliyopewa Tundu hayajafika tu au yamepotelea Kaskazini?
 
Yaani vipikipiki 200 kelele nyingii kama wameleta Ndege ya Airbus. Vipi yale mabus aliyopewa Tundu hayajafika tu au yamepotelea Kaskazini?
Bora zimepotelea Kaskazi je zile Korando za zulma mlizoenda kuzipima skrepa?!
 
Back
Top Bottom