CHADEMA twazidi kujiimarisha

Ukitazama kwa jicho la kipofu utafikiri Serikali ya Ccm na Ccm yenyewe hawajui nani aliagiza hizo piki piki na siyo Ccm waliotoa kibali cha kuingiza huo mzigo.
Yaani Lumumba hawajui transactions zozote juu ya hili.
Tena hawana mkono wowote juu ya
mahakama (ma DED.)
Hapa M4C wamekosea sana, wamekaanga pesa na muda katikati y'all tudu la CCM.
Uchaguzi utakuwa , CHADEMA kupoteza majimbo yote nayo tume huru itawa kaanga kwa report za papo kwa papo kwa papo kama ilivyo kuwa kwa Malema dhidi ya ANC.

Kwani uchaguzi wa mwaka huu hauna mbwembwe za piki piki.
Pili mikakati na sera kuelekea ushindi siyo piki piki na magari.

Mwennzao Ccm anakusanya wapiga kura kwenye korosho hadi Mama lishe wa mjini akigawa vitabumbulisho Chadema anakimbilia piki piki. Amesahau kutetea majimbo yake kwa kujenga miundo mbinu.
Hizo Pikipiki hazimgusi mpiga kura mara moja.
 
Naona bado upo usingizini ndugu yangu.
Tukianzia na wakulima wa korosho hapo sahau kabisa kama ccm mtapata kura maana siku anatoka mtwara tu watu wanajiapiza kuwa kamwe hapotezi tena kura zao kwa ccm.

Huko kwa mama nitiliye hapo mmebugi vibaya sana hakuna mtu yupo tayari kuwapeni kura.
 
Huku Kahama ni bora tuwachague CHAUMA kuliko ma chadema majizi, kelele nyingi, blah blah tupu,ukanda, ukabila. Huku hampati kitu wazee sisi sio wajinga wajinga
Endelea kuchagua ccm iwaletee maendeleo, moba juzi juzi mnakimbizana na vita
Ni kweli unajua kwa sasa hali ilivyo Ccm inazalisha watu wanao pelekwa upinzani na kuaminiwa sana hii pia inapelekea upinzani kuwa sehemu ya chama tawala

Na hii inahitaji umakini kuwajua watu wa aina hii
Chadema tuko macho sana. Hatutarudia kosa. Kuja waje lakini vyeo hakuna.
 
Hiyo ndiyo dawa yao
Endelea kuchagua ccm iwaletee maendeleo, moba juzi juzi mnakimbizana na vita
Chadema tuko macho sana. Hatutarudia kosa. Kuja waje lakini vyeo hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…