CHADEMA twazidi kujiimarisha

Muulize wasira sasa hivi kesha kufa kisiasa maana aliitabilia kifo cdm sasa hivi anachunga mbuzi tu
Utakufa kabla yangu, na kifo chenu kitakuwa un INTELLIGENCE SUICIDE. Kuwa na akili
 
We bwekabweka tu hapo lumumba, huku mkia ukiwa makalioni.
Kwamba huto tu piki piki ndio sera mpya? mkawadanganye wajinga awamu hii mtazomewa majimbo mengi sana. Hamtakiwi bongo hii namkubali sana Magu kawanyoosha hakuna makelele wala mikusanyiko mlio zoea, nawewe jitokeze kama Mdude uone moto wake ngiri pori wewe
 
We endelea kubwekabweka tu hapo lumumba, huku mkia ukiuweka makalioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…