CHADEMA twazidi kujiimarisha

Hizo zote mbowe atazipiga na hivi kafilisika ndo kabsa
 
Kahama is one of the poorest districts in Tz. Majority of its inhabitants live in abject poverty. Mimi sio mgeni hapo kahama. Nilishafanya shughuli fulani na hao jamaa wa Kahama Oil Mills.
Wadanganye mbwa wenzio.
 
Asante sana

Hahahah hizi ndio sera zenu, yani hamtakiwi ni marufuku kuleta makanyagio huku
Kahama is one of the poorest districts in Tz. Majority of its inhabitants live in abject poverty. Mimi sio mgeni hapo kahama. Nilishafanya shughuli fulani na hao jamaa wa Kahama Oil Mills.
Wadanganye mbwa wenzio.
 
Safi sana!

Mungu yuko na CHADEMA maana ndio iliyochaguliwa kuwakomboa watanzania.
Wewe ni mwenda wazimu. Mungu yuko na viumbe wake wote, Mungu sio mbaguzi.

Chadema kwanza kijikombowe chenyewe, nipo kitaweza kuweza hata kuitwa chama. Na hizo picha mnazotuwekea hebu hakikisheni ni za lini. Mbona ni picha za marudio
 
Kama mnashinda kwa haki kwenye uwanja ulio sawa hakuna haja ya kulalamika mkuu
Hata sie wana ccm tumelifurahia hilo, kwani tukishinda msije mkaja na yaleyale ya kuonewa , kuibiwa mkiwa macho na vijisababu
 
Ifike wakati CDM chairman aendane na wakati diplomacy is no longer applicable basing on current situation there need other approaches particulary violance and brutality to partisan
THIS IS THE JUNCTURE WAITED BY ME AND MYSELF FOR QIUET LONG, WAACHE WAENDELEE KUTUCHOKONOA TUTAWATOBOA
 
Sio lazima niambiwe, bali kila ishara zinaonyesha huo mradi ulikwisha wakati wake. Au haukuwa na manufaa chama kikabadilsha Gia.
Hujajibu ulicho ulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…