Chadema tutaikumbuka kwa juhudi binafsi za wabunge hasa Dr Slaa, Zitto, Tundu Lissu na JJ Mnyika!

Kiukweli japokuwa Chadema inafutika taratibu katika ramani ya siasa za Tanzania, lakini wengi tutaikumbuka kwa michango binafsi ya wabunge wake ndani na nje ya binge. Pamoja na ukweli kwamba baadhi ya wabunge walikuwa na Dada au watalaka wao ndani ya chama lakini waliendelea kubakia makini na wazalendo katika majukumu yao ya kibunge. Historia itawakumbuka Dr Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na JJ Mnyika kwa jinsi walivyoifanya CCM na serikali take visilale usingizi. Historia itamkumbuka pia mbunge Sugu kwa jinsi alivyobebwa mzobe mzobe na askari wa bunge wakati akimtetea KUB Mbowe asitolewe ukumbini. Inawezekana kabisa 2020 Chadema ikakosa wawakilishi bungeni kama ilivyo sasa kwa Cuf Kule Zanzibar katika BLW, lakini tutawakumbuka kwa michango chanya kwa taifa hili hata kama CAG bado ana mashaka kwa namna mlivyokuwa mnaifisadi ruzuku. Ahsanteni!
Watokemee tu, vipanga wabobezi
 
Ulitaka wapewe nafasi wafanye siasa zipi? wazunguke kutueleza kwamb tuliwanukuu vibaya Lowassa sio fisadi? watueleze kwamba hawakuwahi kutueleza wangeffua shirika la ndege la serikali? wazunguke watuelee kwamba awakuwahi utuahidi kutujengea reli ya kisasa ya kati? haya ni baadhi ya mambo ambayo yaliwafanya watanzaniawawe na imani nao, yote leo yanafanyika wanabedha na kudhihaki mtanzania gani aliye timamu atawaelewa? na wafe tu.
Mimi nazungumzia chaguzi wewe unazungumzia mikutano ya kisiasa! Naona umechanganya madesa
 
Cuf bara imeshakufa imebakia Zanzibar tu......by Julius Mtatiro!
Hii ni kutokana na
tapatalk_1537205442895.jpeg
 
Slaa kanunuliwa.
kaenda kuunga mkono juhudi za kuua upinzani.
mbele ya njaa lazma ujitoe UFAHAMU.
 
Kiukweli japokuwa Chadema inafutika taratibu katika ramani ya siasa za Tanzania, lakini wengi tutaikumbuka kwa michango binafsi ya wabunge wake ndani na nje ya binge. Pamoja na ukweli kwamba baadhi ya wabunge walikuwa na Dada au watalaka wao ndani ya chama lakini waliendelea kubakia makini na wazalendo katika majukumu yao ya kibunge. Historia itawakumbuka Dr Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na JJ Mnyika kwa jinsi walivyoifanya CCM na serikali take visilale usingizi. Historia itamkumbuka pia mbunge Sugu kwa jinsi alivyobebwa mzobe mzobe na askari wa bunge wakati akimtetea KUB Mbowe asitolewe ukumbini. Inawezekana kabisa 2020 Chadema ikakosa wawakilishi bungeni kama ilivyo sasa kwa Cuf Kule Zanzibar katika BLW, lakini tutawakumbuka kwa michango chanya kwa taifa hili hata kama CAG bado ana mashaka kwa namna mlivyokuwa mnaifisadi ruzuku. Ahsanteni!
Asante kwa hii mada murua kabisa.
 
hivi kama UDP ya cheo haijafa sembuse chadema? hizi chaguzi ndogo watakwenda kupiga kura makada wa ccm kwenye vituo. inatocha...
 
Kiukweli japokuwa Chadema inafutika taratibu katika ramani ya siasa za Tanzania, lakini wengi tutaikumbuka kwa michango binafsi ya wabunge wake ndani na nje ya binge. Pamoja na ukweli kwamba baadhi ya wabunge walikuwa na Dada au watalaka wao ndani ya chama lakini waliendelea kubakia makini na wazalendo katika majukumu yao ya kibunge.

Historia itawakumbuka Dr Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na JJ Mnyika kwa jinsi walivyoifanya CCM na serikali take visilale usingizi. Historia itamkumbuka pia mbunge Sugu kwa jinsi alivyobebwa mzobe mzobe na askari wa bunge wakati akimtetea KUB Mbowe asitolewe ukumbini.

Inawezekana kabisa 2020 Chadema ikakosa wawakilishi bungeni kama ilivyo sasa kwa Cuf Kule Zanzibar katika BLW, lakini tutawakumbuka kwa michango chanya kwa taifa hili hata kama CAG bado ana mashaka kwa namna mlivyokuwa mnaifisadi ruzuku.

Ahsanteni!
Narudia tena kusema, Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila naunga mkono Sana mfumo wa vyama vingi. Napenda kukumbushia maneno mazuri yenye uweledi ya professa Musa Assad, kuhusu kuwa na taasisi zenye nguvu ambazo zitakuwa na meno ya kusimamia sheria kikamilifu ili hata Kama raisi atakayechaguliwa akiwa dhaifu nchi itasonga mbele. Ikitokea huko mbeleni tena akachaguliwa raisi legelege, hawa waliopo chama tawala litafumuka wimbi tena la kuhama vyama. Ni matukio muendelezo, ni wakati tu unasubiriwa uwadie.
 
Tangu umetoroka kutoka mirembe naona wimbo wako ni cdm utadhani ndiyo walio kuroga
Kiukweli japokuwa Chadema inafutika taratibu katika ramani ya siasa za Tanzania, lakini wengi tutaikumbuka kwa michango binafsi ya wabunge wake ndani na nje ya binge. Pamoja na ukweli kwamba baadhi ya wabunge walikuwa na Dada au watalaka wao ndani ya chama lakini waliendelea kubakia makini na wazalendo katika majukumu yao ya kibunge.

Historia itawakumbuka Dr Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na JJ Mnyika kwa jinsi walivyoifanya CCM na serikali take visilale usingizi. Historia itamkumbuka pia mbunge Sugu kwa jinsi alivyobebwa mzobe mzobe na askari wa bunge wakati akimtetea KUB Mbowe asitolewe ukumbini.

Inawezekana kabisa 2020 Chadema ikakosa wawakilishi bungeni kama ilivyo sasa kwa Cuf Kule Zanzibar katika BLW, lakini tutawakumbuka kwa michango chanya kwa taifa hili hata kama CAG bado ana mashaka kwa namna mlivyokuwa mnaifisadi ruzuku.

Ahsanteni!
 
Hayo ndiyo matokeo ya kuwa chini ya uongozi wa chakubanga
Asante ya nini Sasa na umeandika rubbish? Eti unamalizia kwa kusema “Asanteni”, wabongo kwa unafiki hatujambo.

“Mtaikumbuka”, ina maana kwenye akili yako mumeshaiuwa na sherehe mmeshafanya?!
 
Asante sana mkuu kwa kutoa ya moyoni ambayo kimsingi yapo mioyoni mwa mamilioni ya watanzania
Mkuu kumbuka hao unaowataja wote waliimarisha chama kwa sababu Walipata nafasi ya kufanya siasa... Slaa, Mnyika, Zitto, Lissu wote walifanya siasa kila mahali..unamkumbuka Dr. Slaa na mikutano ya hadhara ya Mwembeyanga,CCM Kirumba na kote nchini na operation Sangara? Unawakumbuka kina Slaa, Zitto na Mnyika waliokua wanasimamisha nchi Bungeni tukiona Live bunge likiiisimamia serikali? Sasa hivi hivyo vitu utaona wapi zaidi ya ununuzi wa binadamu kama nyanya? Tumebaki kupata madini kidogo kwa Zitto kupitia twitter tu, kama hauko twitter au watsaap ambako unaweza kuambulia viscreenshot utamsoma wapi Zitto? Hata TV siku hizi tunatakiwa tuangalie TBC tu! Sasa hivi anayeruhusiwa kufanya siasa ni mtu mmoja tu na vijana wake. Wengine polisi, mahakama na mahabusu inawahusu kila siku....

Wapinzani wa awamu hii wanajitahidi mno? lugha sahihi ni Kwamba wanajitolea maisha yao... Mimi nawaombea mungu awape moyo wa uvumilivu tu
 
Kwa mazuzu wa lumumba hilo hawalijui
Ili chama kifutike lazima kiwe na uhaba wa rasilimali watu jambo ambalo sijui umepimaje kwa Chadema ambacho rasilimali watu siyo tatizo!

Kama unapima uimara wa Chadema kwenye chaguzi hizi za kihuni zinazoendeshwa kwa ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi basi utakuwa una tatizo la ufahamu au mahaba na ushabiki ndio unakufanya ufikie hitisho kama hilo

Chaguzi ambazo mwananchi siyo mwenye maamuzi kwenye sanduku la kura utakujaje na hitimisho la kijinga kama hilo
 
Back
Top Bottom