Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakati CCM ikipunguza Madaraka Kwa Wananchama kwamba ukiwa Na Madaraka ya Ubunge hauruhusiwi kushika cheo chochote ndani ya CCM.
CHADEMA pia tunahitaji kubadili katiba Mbowe asiyesikia la Mhadhini swala wala la Mteka Maji msikitini amekua na Idea ambazo zimechoka Kwanini Wanachama tusifanye Mapinduzi Tumuweke Mtu kama Dr. Slaa mtu ambaye ana Msimamo Mzuri Mtu ambaye Si Muoga Mtu ambaye anaweza kukinzana na Mafisadi kama akina Lowassa na Sumaye.
Tunahitaji Overhaul ya system ya Chama chetu tunateendelea Kufukuza Mikia yetu na 2020 inakaribia tunahitaji Mawazo Mapya