Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Siku 7 za kushindwa kwa jaribio dhidi ya haki na uhuru zimekwisha. Tunaporejea tena na sasa kwa vishindo zaidi, akili mkichwa na macho kumchuzi.
Wanasema "he who laughs last, laughs best."
Mshirika mwenzetu yuko kitandani na wenziwe wakiuguza majeraha. Tunapowaombea ahueni ya mapema kurejea kwenye kampeni zao, chonde chonde usalama kwanza. Myendo yetu na magari na pia madereva wetu tahadhari zaidi wakuu.
Tusisahau makenge nao wapo ndani ya misafara yetu "wakiitisha bwana bwana hali hawatauona ufalme wa mbinguni." Nani 2015 alimshuku mgombea ubunge yule wa leo, kuwa alikuwa mmoja wao?
Umri wa madereva bila kuwafuata wale wenye kutafuta visingizio kama wale wa yule wa Chopa si haba. Walisema waungwana "vya kale ni dhahabu."
Chonde chonde tulipo penye basi kuwa basi kweli kweli, maisha ya majemedali wetu ni muhimu sana. Walizimwa kina "King", tusizimwe kizembe.
Kwani lini waliwahi kuwa na dini hawa? Kwani kuitisha maombezi kuliwahi kukoma walipopotea kina Ben au Azory? Au hata Lissu aliponusurika?
Kama ilivyo ada, wao akiwamo yule daktari bingwa wa nani hii wako kwenye nyungu zao kutuombea mabaya hata ikibidi njaa.
Kwamba kuna siri tena?
Sasa basi!