CHADEMA tunaporejea kwa kishindo, tahadhari

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema

Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike

Huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi tutamfundisha adabu October kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Kiingereza kama jiwe, kiswahili nacho ndiyo hivyo tena. Shule mlikwenda kusomea ujinga.

Nitampigia Lissu jina langu siyo Robert. Wapo wengi tu watakaompigia Lissu wengine wapo CCM hata ACT.

Kuweka record sawa, kura tutapiga sisi, Robert mtaanza naye ICC.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema

Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike

Huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi tutamfundisha adabu October kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa

Fanyeni yote uchaguzi msikwibe. Hii ni kukunong'oneza kama huyo jiwe mnampenda.
 
Hakuna wa kuiba Uchaguzi Kwasababu Rais Magufuli atashinda kwa 98%

Huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu

Na hakuna wa kuigusa Tanzania, wataishia kutoa vipeperushi tu

Unawajua ma beberu wewe? Hicho kisimu tuu,hiyo network operator ni beberu hapo bado hajachomoa betri
 
Na Tundu Lisu alivyokuwa mbinafsi siajabu hata hajafika Hosptalini kumpa pole Zito Kabwe kwa laana aliyopigwa na Mungu chaliii na bado , ...
Nimekuondoa kwenye kundi la watu niliowaheshimu kwa utu wao. Kwa hiyo unamwombea Zitto kifo ili upate nini baada ya yeye kufariki?
You are too adult to utter this rubbish!
 
Kifupi ni kwamba uchaguzi ushaisha, na nyie na Lissu wenu hamtakaa hata msogelee Ikulu ya Chamwino au Magogoni, ila inaruhusiwa kujipa matumaini. This time around tutawaachia 20% tu ya kura zote.

#MAGUFULI_TANO_TENA
 
Na Tundu Lisu alivyokuwa mbinafsi siajabu hata hajafika Hosptalini kumpa pole Zito Kabwe kwa laana aliyopigwa na Mungu chaliii na bado , ...
Nani kakwambia hajamlia hali na kwamba hatakwenda kumtembelea?
 
Tundu Lisu ameshindwaje kwenda kumpa pole Zito Kabwe Hospitalini na alikuwa Dar siku zote? Kama siyo ubinafsi ni nini?
"Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf.mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman
wamemjia tena,Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shot him!"

Je Barbarosa unakumbuka kauli yako hii??
 
Na Tundu Lisu alivyokuwa mbinafsi siajabu hata hajafika Hosptalini kumpa pole Zito Kabwe kwa laana aliyopigwa na Mungu chaliii na bado , ...
Hayakuhusu. Yule mhutu mwenye roho na maamuzi ya kiuawaji ndiye mbinafsi. Lisu alipopigwa risasi akakataza watu kumubea, kumchangia damu na kumtibia.
 
Kwa nini huyo chibonge mbinafsi hajaenda kumpa pole Zito Kabwe?

1602334507392.jpeg
 
Tundu Lisu ameshindwaje kwenda kumpa pole Zito Kabwe Hospitalini na alikuwa Dar siku zote? Kama siyo ubinafsi ni nini?
Si alipigwa ban asitoke nje ya dar,au mlikuwa mamvizia akienda huko isemekane anafanya kampeni.ccm wabaya nyie
 
Zito Kabwe amelezwa Hospitalini Dar na watu mbalimbali akiwemo Membe walishafika kumuona, isipokuwa chibonge tu ambaye kutwa nzima anatafuta huruma ktk kwa wengine lkn yeye huruma hana, evil beast, ...
 
Ndiko mlikokuwa mkimsubiria? Mbona umeshupaa hivi?

Yako ilikuwa na telescopic sight pia? Wewe ulikuwa ukisubiria pande za pande zipi?

Inajulikana mgonjwa operation kafanyiwa "Agha Khan."
 
Back
Top Bottom