CHADEMA tunaporejea kwa kishindo, tahadhari

Na Tundu Lisu alivyokuwa mbinafsi siajabu hata hajafika Hosptalini kumpa pole Zito Kabwe kwa laana aliyopigwa na Mungu chaliii na bado , ...
Mwenye laana ni ndugu yako wa Chatle aliua kikatili na kumwaga damu za watu
 
Umedanganywa na jiwe, majaliwa au yule kicheche?

Hatudanganyiki!
Jambo baya ambalo Mwenyekiti wa Chadema analifanya ni kumuacha wakili wa Lisu aendelee kutoa comments za kisiasa kila siku kwenye page yake ya twitter, sasa image ya Chama Imeshachafuka hakuna namna tena utaacha kuamini kuwa Lisu katumwa na Amsterdam na uhusiano wao ni zaidi ya wakili na mteja, katika hali ya kawaida utamuona wakili mahakamani lakini huyu wa Lisu ana agenda yake ambayo lazima itimie, hakuna haja ya kuambiwa na yeyote mtu mwenye busara tu analiona hilo.

Mbowe anamhujumu Lisu na pia ameamua kukizika Chama Chake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Aliyesema ujinga ni mzigo sawa na mwingine wowote anaoweza kujitwisha mtu aliona mbali sana.

Kwa hakika, kama ilivyokuwa kwa mizigo mingine mtu anaweza kujitwisha ujinga au hata kuutua.

Unakuotesha kibiongo huo. Jipange.
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Siku 7 za kushindwa kwa jaribio dhidi ya haki na uhuru zimekwisha. Tunaporejea tena na sasa kwa vishindo zaidi, akili mkichwa na macho kumchuzi.

Wanasema "he who laughs last, laughs best."

Mshirika mwenzetu yuko kitandani na wenziwe wakiuguza majeraha. Tunapowaombea ahueni ya mapema kurejea kwenye kampeni zao, chonde chonde usalama kwanza. Myendo yetu na magari na pia madereva wetu tahadhari zaidi wakuu.

Tusisahau makenge nao wapo ndani ya misafara yetu "wakiitisha bwana bwana hali hawatauona ufalme wa mbinguni." Nani 2015 alimshuku mgombea ubunge yule wa leo, kuwa alikuwa mmoja wao?

Umri wa madereva bila kuwafuata wale wenye kutafuta visingizio kama wale wa yule wa Chopa si haba. Walisema waungwana "vya kale ni dhahabu."

Chonde chonde tulipo penye basi kuwa basi kweli kweli, maisha ya majemedali wetu ni muhimu sana. Walizimwa kina "King", tusizimwe kizembe.

Kwani lini waliwahi kuwa na dini hawa? Kwani kuitisha maombezi kuliwahi kukoma walipopotea kina Ben au Azory? Au hata Lissu aliponusurika?

Kama ilivyo ada, wao akiwamo yule daktari bingwa wa nani hii wako kwenye nyungu zao kutuombea mabaya hata ikibidi njaa.

Kwamba kuna siri tena?

Sasa basi!
Tumerejea kwa ushindi mkubwa sana
 
Hivi Lissu mtu atake kumuua kwa kipi hasa alichonacho huyo kibaraka wa mabeberu jamaniiiiiii
You are sounding so strange, contrary to how you look like. I should have been expected soberiety as per your looking. Are you really a Tanzanian ?
 
Jambo baya ambalo Mwenyekiti wa Chadema analifanya ni kumuacha wakili wa Lisu aendelee kutoa comments za kisiasa kila siku kwenye page yake ya twitter, sasa image ya Chama Imeshachafuka hakuna namna tena utaacha kuamini kuwa Lisu katumwa na Amsterdam na uhusiano wao ni zaidi ya wakili na mteja, katika hali ya kawaida utamuona wakili mahakamani lakini huyu wa Lisu ana agenda yake ambayo lazima itimie, hakuna haja ya kuambiwa na yeyote mtu mwenye busara tu analiona hilo.

Mbowe anamhujumu Lisu na pia ameamua kukizika Chama Chake kwa mikono yake mwenyewe.
Hiyo image imechafua CCM. Wakili anatoa comment lakini Wilson yeye anatoa hadi Press😅😅

Lissu kajipanga bwana. Mbona mtakoma
 
Jambo baya ambalo Mwenyekiti wa Chadema analifanya ni kumuacha wakili wa Lisu aendelee kutoa comments za kisiasa kila siku kwenye page yake ya twitter, sasa image ya Chama Imeshachafuka hakuna namna tena utaacha kuamini kuwa Lisu katumwa na Amsterdam na uhusiano wao ni zaidi ya wakili na mteja, katika hali ya kawaida utamuona wakili mahakamani lakini huyu wa Lisu ana agenda yake ambayo lazima itimie, hakuna haja ya kuambiwa na yeyote mtu mwenye busara tu analiona hilo.

Mbowe anamhujumu Lisu na pia ameamua kukizika Chama Chake kwa mikono yake mwenyewe.
Amsterdam amewapiga vidole. Mahera eti anatishwa😀😀😀 yeye atishe wengine tu. Mbona mtanyoka mwaka huu.
 
Baada ya Mbowe kuona kuwa mgombea wake ni kimeo amemkimbia ili kuficha aibu, hutamuona majukwaani akitembea nae kumnadi kama alivyofanya kwa Lowasa.
 
Tulia wewe mbowe hakuhusu. Lissu peke yake anawatoa jasho. Mbowe akiliunga si mtatapika damu.
 
Back
Top Bottom