Rejao mbwa koko ni yule anayeona adui au mwizi lakini ana bweka huku mkia kauficha, sasa hebu niambie kati ya cdm na ccm nani mbwa koko - ona hii:
Serikali ya ccm inasema mafisadi ni hatari wakikamatwa nchi itayumba! Hapo mkia upo juu au? Viongozi wa cdm walidiriki kusimama hadharani na kutaja list ya vigogo wezi na mafisadi bila kumung'unya maneno mchana kweupe japo hawana serikali, vipi hapo mkia upo chini au juu? Mbwa koko nchi hii bwana Rejao wanafahamika ndio maana dhahabu, tanzanite, almasi, nk vinaporwa mchana kweupe. Samahani najua inauma kuyajua haya ila umeyataka mwenyewe.