Chadema: Tunajiandaa kuwatumikia Watanzania-2015.

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
375
Akiwa na furaha mara baada ya kuonana naye, Mh. Vicent Nyerere Mbunge wa Musoma mjini mkoani Mara alinidokezea kuwa kwa sasa chadema wanajiandaa kuwatumikia watanzania wote mwaka 2015. " Tunajiandaa na unaona kazi tunazofanya pande zote za Nchi yetu.

Nilimuuliza swali la uchokozi " Mh. Sita alisema kuwa hamna safu ya kutosha kuongoza Nchi wewe unasemaje" Mh. Nyerere akanijibu kuwa "kwanza sisi hatutawaongoza watanzania kwani wao ni vipofu? sisi tutawatumikia watanzania wote, kuhusu safu alijibu kuwa " Rais kikwete mbona hakuona safu ya wana- CCM bungeni wakati alipounda Baraza lake la mawaziri hadi akamchomoa Prof. Sospeter Muhongo pale UDSM!!?
 
Ina maana kuwa unapingana na kiongozi wako Dr Slaa?

Dr alisema kwa sasa bado tunakijenga chama, kwa hiyo unatakiwa kufikiria ujengaji wa chama kwa sasa sio kuongoza nchi.

Huwezi kuendesha gali kwa kutumia leaner licence, utaua watu
l_plate.png
 
Elimika kabla ya kuandika.
 
Ina maana kuwa unapingana na kiongozi wako Dr Slaa?

Dr alisema kwa sasa bado tunakijenga chama, kwa hiyo unatakiwa kufikiria ujengaji wa chama kwa sasa sio kuongoza nchi.

Huwezi kuendesha gali kwa kutumia leaner licence, utaua watu
l_plate.png

Chama kimeshajengwa kipo imara kabisa maandalizi sasa ni kuwatumikia wananchi baada ya kuingia madarakani 2015
 
Si tu JK alimpick Sospiter Muongo tu, bali hata JK aliwaacha CCM wenzake akamteua James Mbatia....Kwa CHADEMA Viongozi ni zaidi ya wanaohitajika.
 
Akiwa na furaha mara baada ya
kuonana naye, Mh. Vicent Nyerere Mbunge wa Musoma mjini mkoani Mara
alinidokezea kuwa kwa sasa chadema wanajiandaa kuwatumikia watanzania
wote mwaka 2015. " Tunajiandaa na unaona kazi tunazofanya pande zote za
Nchi yetu.

Nilimuuliza swali la uchokozi " Mh. Sita alisema kuwa hamna safu ya
kutosha kuongoza Nchi wewe unasemaje" Mh. Nyerere akanijibu kuwa "kwanza
sisi hatutawaongoza watanzania kwani wao ni vipofu? sisi tutawatumikia
watanzania wote, kuhusu safu alijibu kuwa " Rais kikwete mbona hakuona
safu ya wana- CCM bungeni wakati alipounda Baraza lake la mawaziri hadi
akamchomoa Prof. Sospeter Muhongo pale UDSM!!?

wawatumikie wananchi 2015 kwani wameshinda uchaguzi? hii ni kauli ya kipuuzi ambayo inapaswa kupuuzwa
 
Chama kimeshajengwa kipo
imara kabisa maandalizi sasa ni kuwatumikia wananchi baada ya kuingia
madarakani 2015

sidhani kama una uelewa mpana juu ya chadema kuliko dr slaa, katibu mkuu ambaye ametamka wazi kuwa chadema bado hakijawa imara kuchukua nchi. pia amesema kuwa sera za ccm ni nzuri kuliko za chadema
 
Akiwa na furaha mara baada ya
kuonana naye, Mh. Vicent Nyerere Mbunge wa Musoma mjini mkoani Mara
alinidokezea kuwa kwa sasa chadema wanajiandaa kuwatumikia watanzania
wote mwaka 2015. " Tunajiandaa na unaona kazi tunazofanya pande zote za
Nchi yetu.

Nilimuuliza swali la uchokozi " Mh. Sita alisema kuwa hamna safu ya
kutosha kuongoza Nchi wewe unasemaje" Mh. Nyerere akanijibu kuwa "kwanza
sisi hatutawaongoza watanzania kwani wao ni vipofu? sisi tutawatumikia
watanzania wote, kuhusu safu alijibu kuwa " Rais kikwete mbona hakuona
safu ya wana- CCM bungeni wakati alipounda Baraza lake la mawaziri hadi
akamchomoa Prof. Sospeter Muhongo pale UDSM!!?

kama unajiandaa kuwa houseboy wetu itakuwa poa sana
 
Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani ambaye elimu yake ni Form Four yuko tayari "kuwatumikia" wananchi kama mtendaji ndani ya serikali ya kufikirika.

Hakuna kitu cha kushangaza kwa sababu ubinadamu unakamilika pia katika ndoto hata zile za alinacha.

Wananchi siyo wajinga kwa kiasi cha akili za kina Vicent Nyerere ndiyo maana CHADEMA wamejaribu kuwalaghai wananchi mara mbili kama wako tayari kutawala, lakini wananchi wakawashtukia.
 
Akili yetu sasa si 2015 bali ni jinsi ya kufungua tawi la CDM kila kijiji cha Tz na kuwa na uongozi kila nyumba 10! Hayo mengine ni matokeo.
 
Kumbe ndiyo maana mnanunua mitihani ?
 
Akili yetu sasa si 2015 bali ni jinsi ya kufungua tawi la CDM kila kijiji cha Tz na kuwa na uongozi kila nyumba 10! Hayo mengine ni matokeo.

huo sasa ndio mpango wa mageuzi na harakati za kweli, hata wananch wachoka na ufisadi wanataka maendeleo ya wote.
 
Back
Top Bottom