Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia
Best wishes Malecela JNR
Rt Rev Masa
Kama William ni jasiri kweli mwache ajisemee mwenyewe, wewe unawezaje kujua anachofiria? CDM sio kimbilio la walioshindwa CCM, anatakiwa mtu ajitose sasa hadharani na kuunga mkono harakati za ukombozi wa Taifa letu, na si mtu kusubiri mtu mwingine amsemee.
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia
Best wishes Malecela JNR
Rt Rev Masa
Fikirini mbali wazee nje ya box! Bunge zima litachagua 3 Kati ya hao tisa! Upinzani tuna nafasi moja hamjui hata local politik?????

Hapa lazima tukubari UKWELI tu, ni kwamba tumeletewa mashetani 9. Na kati ya hayo MASHETANI lazima tuchague MASHETANI 3. Yaani lazima wabunge wa EAC 3 watoke CCM. CDM kama chama chenye wabunge kura zao wampigie nani? Ndiyo maana Masanilo anashauri KURA za Wabunge wa CDM ziende kwa W. Malecele kwasababu yeye ndiye ZIMWI LITUJUALO (sisi JF), hata kama hawezi kututetea lakini kama mwa JF mwenzetu anaweza kuwaambia hata MASHETANI wenzake kwamba jamani JF wanasema hivi na vile, na pia anaonekana kuwa the least SHETANI
Kwa hoja hiyo nami napendekeza kura 49 za Wabunge wa CDM ziende kwa W. Malecele. Mnyika, Zitto, Mdee, Nassari, please take this seriously.
Wakuu !
Nimeangalia kwa mapana William yuko kimakosa sana CCM! Pamoja na mapungufu yake wabunge waCDM wamuunge mkono kuliko mCCM mwingine. Mwisho wa siku CDM lazima wachangue MCCM mmoja wapo Kati ya wale 9!
Huwezi honga mchungaji there is no price tag kwangu!
M4C
kama niivyo mchungaji then wajichague wenyewe, kwa nini CDM ihusishwe? Kwanini baadaye tuje kupeana lawama?
Kila mtu afe na mzigo wake.
Hapa lazima tukubari UKWELI tu, ni kwamba tumeletewa mashetani 9. Na kati ya hayo MASHETANI lazima tuchague MASHETANI 3. Yaani lazima wabunge wa EAC 3 watoke CCM. CDM kama chama chenye wabunge kura zao wampigie nani? Ndiyo maana Masanilo anashauri KURA za Wabunge wa CDM ziende kwa W. Malecele kwasababu yeye ndiye ZIMWI LITUJUALO (sisi JF), hata kama hawezi kututetea lakini kama mwa JF mwenzetu anaweza kuwaambia hata MASHETANI wenzake kwamba jamani JF wanasema hivi na vile, na pia anaonekana kuwa the least SHETANI
Kwa hoja hiyo nami napendekeza kura 49 za Wabunge wa CDM ziende kwa W. Malecele. Mnyika, Zitto, Mdee, Nassari, please take this seriously.
PKP
U have a point! Wakichaguana wao kwa wao ndo hapo wataweka asiyefaa! Kumbuka huyu anawakilisha nchi kwenye bunge la EA