CHADEMA tumetegua bomu letu,CCM msije kuthubutu

CHADEMA tumetegua bomu letu,CCM msije kuthubutu

Dr.Slaa anadaiwa na Chama milioni 180, Je mpaka 2015 kama hajamaliza kulipa hela yote bado atakuwa mgombea wa CHADEMA? je ni kikao gani kilikaa na kumteua Dr.Slaa kuwa mgombea Urais 2015?

mkuu kama ni kweli basi atakua chadema mpaka deni lirudi ndio wachague mwingine
 
ruto.png

Yaani we RUTO hata wiki ujafikisha lakini mtukutu hivi? 🙂

ngoja chris lukosi na mitusi yake
 
MSALANI Dinner umepata lakini dugu yanyu veve???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom