Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
We jamaa una akili sana,Sijaweka NCCR, CUF, TLP, DP, UPDP nA na vingine kwani najua havina madhara labda pale ambapo vitaungana. Membe na Migiro nimewapuuzia hata kama JK anawasapoti kwani hawana sifa za utendaji wala fedha kama Sitta na Lowassa. Sifa zao ambazo Lowassa na Sitta hawana hazina madhara kwa makubwa kwani hata JK haya makundi yanamzidi nguvu, Hamuoni anavyoendeshwa na bunge kama remote kuhusu baraza lake la mawaziri?
Ukiendelea hivi utakuwa mchambuzi mzuri sana wa siasa hapo baadaye kama kina Nguruvi3, Mwanakijiji, Mchambuzi, Ngongo na wengineo