ligangaluma
Member
- Jun 11, 2013
- 76
- 6
Huyu mama lazima atatafuta bwana mwingine tu baada ya 2015 make nia yake mume ambaye ni rais na slaa urais basi tena.
Umeanza, umeanza masopakyindi. tuache tupumue.... okwaaaaa......!!
CC masopakyindi !
Kyandima haiwesi kuja kutukuju!
Simiyu yetu eee, na hii hapa chini umeiona lakini?
Sasa mabomu ya machozi karibu yataisha manaake hiyo mikutano! Oups!Hiyo inaitwa twanga kote kote 😛lane:
Hakuna kitu mfanye kazi ya ziada kumtoa prof pale tukuyu sio raisi uende na carlolite zako kupambana na wasomi huyo mama mvamia mabwana tupa kulee
huyu mama lazima atatafuta bwana mwingine tu baada ya 2015 make nia yake mume ambaye ni rais na slaa urais basi tena.
we vp Inakuuma et?et mke wa slaa,,,watu bhna,,,sema hawara yale slaa
Huyu mama lazima atatafuta bwana mwingine tu baada ya 2015 make nia yake mume ambaye ni rais na slaa urais basi tena.
mbona unamuonea wivu?au unataka slaa akuoe wewe?
Huyu mama lazima atatafuta bwana mwingine tu baada ya 2015 make nia yake mume ambaye ni rais na slaa urais basi tena.
mbona unamuonea wivu?au unataka slaa akuoe wewe?
Mkuu hoja yako ni kweli na mimi naelewa CDM ina watu wengi saana Tukuyu, tatizo ni sehemu ya kukutanikia manaake janja ya hawa jamaa zetu hawataki CDM ikutanikie hapo kiwanja walichojitaifishia kuwa cha CCM! Ila wazo ni zuri na next time sidhani kama CCM watakuwa na chao hapo Tukuyu!
Nilikuwepo hapo wakati wa uchaguzi mkuu na niliona mwamko wa watu wa huko, walikuwa wakimtaka Dr wa ukweli aende lakini mizengwe ikawa mingiiiii! Ila nadhani kura alipata si mchezo huko.
Kwa uongozi wa CDM taifa, ni kweli Dr anatakiwa aende huko kwa ziara ya kukiiimarisha chama, watu huko wanaipenda saana CDM huko!
Kweli kabisa wanajipanga kuwa wapinzani hapo 2015

Highlander; Mwambie huyo mpenda kula ugali, sasa hivi CHADEMA inachanja mbuga kila pembe.Zile hirizi walizoachiwa na kina Mwambhulukutu hazitakuwa na kazi tena mbele ya nguvu ya umma. Kina Prof.Mwandosya wamepima kina na kujua hawatavuka ndiyo maana wametangaza mapema kwamba hawatagombea.
Now you are talking!!!!!Sehemu za kukutana zipo Mkuu. Labda hapo niwape sifa kidogo CCM wa Tukuyu. Hapa wana sera tofauti kidogo na Arusha. Kuna ushirikiano sana kati ya hivi vyama huwezi kuamini. Mwaka jana Josephine alipewa idhini kuhutubia mkutano mbele ya ofisi za CCM pale uwanjani. Siwezi kushangaa ruksa ikitolewa tena. Kwa maelezo ya kada mmoja wa CCM ambaye ni rafiki yangu sisi shida yetu ni maendeleo. Tunapima nani kati yetu anawakilisha haiba ya utatuzi wa matatizo yetu halisi ya jamii yetu basi. Kavaa shati rangi gani hilo si muhimu kushida hitaji letu la maendeleo.
Uchaguzi wa 2005 UVCCM walimpa kura mgombea wa Chadema Kata ya Bulyaga (Tukuyu Mjini) makusudi kabisa ila wakawa eti wamempa udiwani awashikie. Na kweli 2010 wakamnyang'anya udiwani (ila ssshhh....usiongeee kwa sauti sana....walichakachua).
Sehemu za kukutana zipo tele... kuna uwanja wa tandale, kuna palepale mbele ya ccm; au hata kwenye viwanja vya shule ya msingi Bulyaga. Zipo sehemu kibao... Kama ni kuja waje tu.
mkuu naongelea xperience ya last election, Dr hakuruhusiwa kutua hapo!