CHADEMA tudumishe Resilience yetu

CHADEMA tudumishe Resilience yetu

We sema unapigania ugali wako kima wewe!
Nina maisha mazuri mno shenzi wewe, mi ndiyo wale unalala unaamka unaangalia app kuona milioni ngapi ziliingia wakati upo usingizini. Mtu nafunga safari kuja bongo kuhakikisha napiga kura, nawapigia kelele alafu nyie maskini washenzi mnajifanya kutuona ka mabwege, ngoja mambo yaishe tuondoke tuache jiwe linawanyoosha shenzi. Hamjui kama mnajichimbia kaburi, bora kua maskini wa mali kuliko akili, ila watanzania design yako wengi ni maskini wa vyote, pole sana. Mtakwisha, kumbuka haya maneno vizuri
 
Hivi ccm hata akili ya kufikiri hamna kweli? Msiwe mnatumia makalio kufikiria kusoma hamjui hata picha pia mnashindwa kutambua, mnajisifu kabisa mnashinda kwa kishindo kwa lipi hasa mlilofanya zaidi ya kununua ndege and hope watu wa humu hata nauli ya basi inawashinda ndo iwe sembuse ndege mkwende zenu
 
Safari hii nadhani mda utafika hata wewe utaingia mtaani tu ipo siku labda tuwe tumekufa wote
Nyie hamuwezi kukinukisha, mpo wachache sanaa. Ukuta mlishindwa, sembuse sasa. Keyboard warriors mnachekeshaga
 
MALIPO YA DHULUMA NI LAANA NA KIFO

LAANA YA MUNGU IWAPATE WOTE WALIOSHINDA KWA DHULMA NA WIZI

BARAKA ZA MUNGU ZIAMBATANE NA WALIOSHINDA KIHALALI NA WALIO TAYARI KUWATUMIKIA WANANCHI
 
CHADEMA mko mtandaoni tu ila huko field mambo ni tofauti kabisaa.
Haya mambo tuliyaona mapema na tukahoji"mbona mtaani Chadema hawaonekani wapo kwenye mitandao tu"
ukiuliza iliswali unaletewa picha ya nyomi la Lissu kwenye mikutano.
Kuitoa CCM siokazi nyepesi kama wanavyofikiri vijana wageni wa kwenye siasa za Tanzania.
 
Nyie hamuwezi kukinukisha, mpo wachache sanaa. Ukuta mlishindwa, sembuse sasa. Keyboard warriors mnachekeshaga
Awawezi,kwanza tuna mechi ya Simba Vs Yanga,ikiisha yanatafutwa matukio mengine ya nguvu kama matatu hivi kwisha habari.
 
Sina chama mimi, tunaposhindwa mimi na nani?
We jamaa nimekublock nashangaa reply zako zinanifikia, sepa niache, sina muda na stupid people
Ha ha haaaa! Vumilia ukweli utakuponya. Halafu unanipa ujuzi ambao sina, yaani unblock halafu bado uendelee kuona post zangu, kweli!? Mimi siyo mtu wa IT ama computer science kunipa sifa ya kukiuka " blocking" zako ni kunionea kabisa.
 
Nina maisha mazuri mno shenzi wewe, mi ndiyo wale unalala unaamka unaangalia app kuona milioni ngapi ziliingia wakati upo usingizini. Mtu nafunga safari kuja bongo kuhakikisha napiga kura, nawapigia kelele alafu nyie maskini washenzi mnajifanya kutuona ka mabwege, ngoja mambo yaishe tuondoke tuache jiwe linawanyoosha shenzi. Hamjui kama mnajichimbia kaburi, bora kua maskini wa mali kuliko akili, ila watanzania design yako wengi ni maskini wa vyote, pole sana. Mtakwisha, kumbuka haya maneno vizuri
Hamtutishi chohote nyie wachamba vibibi wa uarabuni! Kwani wakina Nyani ngabu si wapo hapa na wananuka vumbi licha kukariri wanaishi USA.

Dogo tuheshimiane political affiliation zetu.

Matter of facts, acha ituue.. tumeipenda wenyewe.
 
Watu wanahisi matokeo yametangazwa limeisha, subiri kitawaka muda si mrefu, kama wanahisi watachomoka kirahisirahisi hivi wanaota.
Ndio imeshaisha iyo wewe na mashujaa wengine wa nyuma ya keyboards hamna la kufanya aliyeshinda kashinda aliyeshindwa kashindwa maisha yanaendelea tukutane tena uchaguzi ujao.
 
Ndio imeshaisha iyo wewe na mashujaa wengine wa nyuma ya keyboards hamna la kufanya aliyeshinda kashinda aliyeshindwa kashindwa maisha yanaendelea tukutane tena uchaguzi ujao.
K****a unikome. Ninewablock wengi wenye profile pic za kishenzi sijui mnanitafutia nini. Nenda kalipwe stupid, team ya jiwe ya IT tunaijua vizuri mmekaa mnasambaza propaganda daily shenzi type.
 
K****a unikome. Ninewablock wengi wenye profile pic za kishenzi sijui mnanitafutia nini. Nenda kalipwe stupid, team ya jiwe ya IT tunaijua vizuri mmekaa mnasambaza propaganda daily shenzi type.
Comrade utaweweseka mpaka lini kubali tu imeshaisha iyo na huna la kufanya.
 
Back
Top Bottom