CHADEMA tudumishe Resilience yetu

CHADEMA tudumishe Resilience yetu

Hili swala sio la CHADEMA tu, ni swala la vyama vyote vya upinzani (hata wale waliojiuza pamoja n vyama vyao kama machangudoa - CUF) pamoja na raia wapenda demokrasia wapinge vikali huu uchaguzi na utawala.
Maybe you do not understand the value of 330 million shillings every month.
 
Chadema itulie tu,ni mapema mno isitoe matamko yatakayoleta taharuki na misuguano na vyombo vya usalama,maadamu wameona mbilinge walizochezewa watulize boli ligi bado inaendelea hata kama hawatakuwepo bungeni kuna nafasi nyingi za kufanyia siasa,miaka mitano itapita fasta ni kufanya maandalizi ya kujiandaa na uchaguzi ujao, Ushindi mnono unakuja,ni safari ndefu kuufikia
 
Hapa ndipo mnaposhindwa! Hamna hekima, busara, wala Adabu. Pia mmeishakuwa brainwashed! Ninyi ni vimeo kwa Uwepo wa Tanzania imara, inayopiga hatua za kimaendeleo katika nyanja zote! Ninyi ni mamluki, bahati nzuri Tanzania ni kubwa sana!
Sina chama mimi, tunaposhindwa mimi na nani?
We jamaa nimekublock nashangaa reply zako zinanifikia, sepa niache, sina muda na stupid people
 
Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.

Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote tunayoyaona ni ubatili na hili iwe chachu ya kushikamana na kukijenga chama.

UTHABITI ni muhimu kwa kuwa tunaamini katika NGUVU YA UMMA.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki Chama cha Demokrasia.
Upuuzi mtupu. Nguvu ya umma ipi wakati huo umma umewakataa kwa kura za kufuru. Yani mtu anapigwa gap za kura 30K,bado anaongea uvundo hapa. Mmepata mlichokuwa mnakitafuta.
 
Tuliwambia tokeni mitandaoni, njooeni field nyie mkaishia kujadili kingereza cha Magu humu mitandaoni
 
Nishatoka ndiyo, wewe umefanya nini?
Maskini washenzi sana, tunawapigania mmekaa mnaangalia tu, shenzi kabisa, hivi unahisi nina shida yoyote? Nimerudi bongo kudeal na uchaguzi tu mambo yakiisha naondoka nawaacha manyani muendelee kumtukuza mshenzi mwenzenu. Stupid
Mtakoma mwaka huu. Mlifikiri mnashindania umonitor wa darasa la nne?
 
CHADEMA mko mtandaoni tu ila huko field mambo ni tofauti kabisaa.
Kwa hiyo wale waliokuwa wanahudhuria mikutano ya CDM tena kwa ari kubwa ilikuwa ni facebook etc!!? Kuweni hata na soni nyie ccm
 
Kwa hiyo wale waliokuwa wanahudhuria mikutano ya CDM tena kwa ari kubwa ilikuwa ni facebook etc!!? Kuweni hata na soni nyie ccm
Wale waliend kumshangaa Terminator jinsi alivyo survive shaba.
 
viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote
Kutakuwa na njaa Sana. Njaa hii itatugawa siku za usoni. Kuna vigogo wa Chadema watanunuliwa.
 
Tuliwaambia hapa acheni matusi tutawafundisha adabu,

Haya sasa ngoja dawa iwaingie vizuri.
 
Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.

Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote tunayoyaona ni ubatili na hili iwe chachu ya kushikamana na kukijenga chama.

UTHABITI ni muhimu kwa kuwa tunaamini katika NGUVU YA UMMA.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki Chama cha Demokrasia.
Kwani Chadema bado ipo?
 
Nishatoka ndiyo, wewe umefanya nini?
Maskini washenzi sana, tunawapigania mmekaa mnaangalia tu, shenzi kabisa, hivi unahisi nina shida yoyote? Nimerudi bongo kudeal na uchaguzi tu mambo yakiisha naondoka nawaacha manyani muendelee kumtukuza mshenzi mwenzenu. Stupid
We sema unapigania ugali wako kima wewe!
 
Nimehuzunika sana aisee

The wrong done these lunatics wanadhani hii kulazimisha namna hii ndio labda tutawapenda,it will never happen,sana sana binafsi nimezidi ongeza chuki mno na serikali ya Magufuli..

Yaani nina chuki kupita maelezo....

Basi tu,inabidi kunyamaza,ila I will never unga mkono serikali on anything whatsoever yaani
Hupunguz wala huongezi chochote, ni kama hewa tu
 
Back
Top Bottom