AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Propaganda za kipuuzi hizi.
Wana JF, Salaam,
Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama
vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi
wenye mapenzi mema na chadema mpaka leo haifahamiki chama kimekusanya kiasi gani kutoka kwa
wavuja jasho wa Tanzania. Na kibaya zaidi kumekuwa na usiri mkubwa juu ya makusanyo ya pesa
kupitia njia hii.
Habari ambazo ziko wazi ni kuwa kwasasa ni M/Kiti-Mbowe na Katibu Mkuu- Dr Slaa ndio wanajua ni
kiasi gani kimekusanywa kupitia mfumo huu. Hali hii imeleta sintofahamu kubwa ndani ya chadema hasa
wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani kuna Wilaya na Mikoa iko hoi kutokana na
ukata wa pesa.
Nimalizie kwa kusema "Uungwana ni Vitendo" ni vyema tukawa WASAFI!!!
Mandla
Wa Dodoma.
Wanataka kujua zimekusanywa ngapi ili wakapange jinsi ya kwenda kuchakachua serikalini kama walivyozoea,maana CCM hawana mbinu nyingine ya kupata pesa zaidi ya kuchota fedha za wananchi kwa kutumia njia za kifisadi!
Serikali chini ya tamisemi ituambie ilikusanya shilingi ngapi na vifaa gani kiasi gani wakati tulipochangia mafuriko jiji Dar kupitia mtandao wa kampuni ya vodacom, tujulishwe pia kila muhanga wa yale mafuriko alipewa shilingi ngapi.
Wana JF, Salaam,
Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama
vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi
wenye mapenzi mema na chadema mpaka leo haifahamiki chama kimekusanya kiasi gani kutoka kwa
wavuja jasho wa Tanzania. Na kibaya zaidi kumekuwa na usiri mkubwa juu ya makusanyo ya pesa
kupitia njia hii.
Habari ambazo ziko wazi ni kuwa kwasasa ni M/Kiti-Mbowe na Katibu Mkuu- Dr Slaa ndio wanajua ni
kiasi gani kimekusanywa kupitia mfumo huu. Hali hii imeleta sintofahamu kubwa ndani ya chadema hasa
wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani kuna Wilaya na Mikoa iko hoi kutokana na
ukata wa pesa.
Nimalizie kwa kusema "Uungwana ni Vitendo" ni vyema tukawa WASAFI!!!
Mandla
Wa Dodoma.
Hivi unaijua vizuri ccm??? Ilikuwepo kabla wewe hujazaliwa.

wanachadema wapo kama wamelishwa limbwata na mbowe, hawana muda wa kujiuliza maswali kama haya, wanakamuliwa sawa sawa!
Kuna vyama hela inapopatikana ndio matatizo huanza. Tuige vyama vingine kama CCM! Mapato na Matumizi yako wazi sana katika kila sehemu.
Kwani hapa ametumia akili ya mama yako?Penye hoja nzito, hebu tumia akili yako kujibu..
Wana JF, Salaam,
Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi wenye mapenzi mema na chadema mpaka leo haifahamiki chama kimekusanya kiasi gani kutoka kwa wavuja jasho wa Tanzania. Na kibaya zaidi kumekuwa na usiri mkubwa juu ya makusanyo ya pesa kupitia njia hii.
Habari ambazo ziko wazi ni kuwa kwasasa ni M/Kiti-Mbowe na Katibu Mkuu- Dr Slaa ndio wanajua ni kiasi gani kimekusanywa kupitia mfumo huu. Hali hii imeleta sintofahamu kubwa ndani ya chadema hasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani kuna Wilaya na Mikoa iko hoi kutokana na ukata wa pesa.