Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,200 Dec 11, 2014 #61 Wamepata 123,560/=
Mandla Jr. JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 3,098 Reaction score 631 Dec 12, 2014 Thread starter #62 WILLAFRICA said: kada la c.c.m linahoji mapato ya michango ya harambee za chadema. Huu ni uwendwazimu huu!. Click to expand... Kwa kawaida wana chama wa cdm, ni waoga kuhoji mapato na matumizi.....mnaogopa kufukuzwa!!! Hata tukiwasaidia bado mnalalamika...
WILLAFRICA said: kada la c.c.m linahoji mapato ya michango ya harambee za chadema. Huu ni uwendwazimu huu!. Click to expand... Kwa kawaida wana chama wa cdm, ni waoga kuhoji mapato na matumizi.....mnaogopa kufukuzwa!!! Hata tukiwasaidia bado mnalalamika...
Mandla Jr. JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 3,098 Reaction score 631 Dec 12, 2014 Thread starter #63 Kigogo said: Wamepata 123,560/= Click to expand... Huwa mnashikwa masikio kirahisi sana!! Na hamjitambui. Mlikuwa na haja gani ya kutuonyesha siku ya kwanza, na sasahivi hamtaki kutupa mmepata shilingi ngapi..
Kigogo said: Wamepata 123,560/= Click to expand... Huwa mnashikwa masikio kirahisi sana!! Na hamjitambui. Mlikuwa na haja gani ya kutuonyesha siku ya kwanza, na sasahivi hamtaki kutupa mmepata shilingi ngapi..
Mandla Jr. JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 3,098 Reaction score 631 Dec 12, 2014 Thread starter #64 ngorope said: mwerevu wahi kuchangia supu ya mgonjwa wa tezi dume a.k.a BUSHAAAAA Click to expand... Akili zako ni kama Tenga la nyanya.
ngorope said: mwerevu wahi kuchangia supu ya mgonjwa wa tezi dume a.k.a BUSHAAAAA Click to expand... Akili zako ni kama Tenga la nyanya.