Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
- Thread starter
- #41
Kwani CCM wamesema wamekusanya ngapi kupitia ESCROW, EPA, GEEDGREEN, MERAMETA, IPTL, RADAR, NDEGE YA RAIS etc
Mkuu hizi ni akili zako au umeshikiwa???

Mleta mada nakuomba utuwekee MESSAGE ya kuthibitisha malipo yako, ile ambayo ulitumiwa na M-PESA kuthibitisha kuwa umechangia CHADEMA.Ukiweka hiyo SMS nitakupa hesabu kamili ya fedha zilizokusanywa mpaka sasa.
Wana JF, Salaam,
Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi wenye mapenzi mema na chadema mpaka leo haifahamiki chama kimekusanya kiasi gani kutoka kwa wavuja jasho wa Tanzania. Na kibaya zaidi kumekuwa na usiri mkubwa juu ya makusanyo ya pesa kupitia njia hii.
Habari ambazo ziko wazi ni kuwa kwasasa ni M/Kiti-Mbowe na Katibu Mkuu- Dr Slaa ndio wanajua ni kiasi gani kimekusanywa kupitia mfumo huu. Hali hii imeleta sintofahamu kubwa ndani ya chadema hasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani kuna Wilaya na Mikoa iko hoi kutokana na ukata wa pesa.
Nimalizie kwa kusema "Uungwana ni Vitendo" ni vyema tukawa WASAFI!!!
Mandla
Wa Dodoma.

Wewe umechangia shilingi ngapi kwa ushahidi kisha ukijibiwa ni sahihi
Mkitupa Majina ya waliokwapua pesa zetu BOT (ESCROW ACCOUNT) tutawaambia kiasi gani tumekusanya.Kwasasa shughulikeni na waliotuibia.
Lema anakupigilia msumari nini? kila siku lazima umtaje....Mzalie mtoto tujue mojaPesa za SABODO zimeliwa, Pesa za M4C zimeliwa na wajanja akina LEMA, Hata hizi za sasa bila shaka akina Mbowe wameshaziweka kimiani ndio maana unaona kimya!
Mimi siwezi kuchangia saccos ya watu wawili!!!
Wajinga ndio watafunwao
Hizi ni akili za kuambiwa na kusikia, hebu sasa changanya na za kwako alafu uje ukiwa vizuri
Wana JF, Salaam,
Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi wenye mapenzi mema na chadema mpaka leo haifahamiki chama kimekusanya kiasi gani kutoka kwa wavuja jasho wa Tanzania. Na kibaya zaidi kumekuwa na usiri mkubwa juu ya makusanyo ya pesa kupitia njia hii.
Habari ambazo ziko wazi ni kuwa kwasasa ni M/Kiti-Mbowe na Katibu Mkuu- Dr Slaa ndio wanajua ni kiasi gani kimekusanywa kupitia mfumo huu. Hali hii imeleta sintofahamu kubwa ndani ya chadema hasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani kuna Wilaya na Mikoa iko hoi kutokana na ukata wa pesa.
Nimalizie kwa kusema "Uungwana ni Vitendo" ni vyema tukawa WASAFI!!!
Mandla
Wa Dodoma.
Wana JF, Salaam,
Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi wenye mapenzi mema na chadema mpaka leo haifahamiki chama kimekusanya kiasi gani kutoka kwa wavuja jasho wa Tanzania. Na kibaya zaidi kumekuwa na usiri mkubwa juu ya makusanyo ya pesa kupitia njia hii.
Habari ambazo ziko wazi ni kuwa kwasasa ni M/Kiti-Mbowe na Katibu Mkuu- Dr Slaa ndio wanajua ni kiasi gani kimekusanywa kupitia mfumo huu. Hali hii imeleta sintofahamu kubwa ndani ya chadema hasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani kuna Wilaya na Mikoa iko hoi kutokana na ukata wa pesa.
Nimalizie kwa kusema "Uungwana ni Vitendo" ni vyema tukawa WASAFI!!!
Mandla
Wa Dodoma.
wana jf, salaam,
chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia mitandao ya simu kama vile m-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi wenye mapenzi mema na chadema mpaka leo haifahamiki chama kimekusanya kiasi gani kutoka kwa wavuja jasho wa tanzania. Na kibaya zaidi kumekuwa na usiri mkubwa juu ya makusanyo ya pesa kupitia njia hii.
Habari ambazo ziko wazi ni kuwa kwasasa ni m/kiti-mbowe na katibu mkuu- dr slaa ndio wanajua ni kiasi gani kimekusanywa kupitia mfumo huu. Hali hii imeleta sintofahamu kubwa ndani ya chadema hasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kuna wilaya na mikoa iko hoi kutokana na ukata wa pesa.
Nimalizie kwa kusema "uungwana ni vitendo" ni vyema tukawa wasafi!!!
mandla
wa dodoma.
Hizi ni akili za kuambiwa na kusikia, hebu sasa changanya na za kwako alafu uje ukiwa vizuri
Halafu ukishajua itakusaidia nini?
kada la c.c.m linahoji mapato ya michango ya harambee za chadema.
Huu ni uwendwazimu huu!.