chadema, the weakest opposition Party in Afrika!

chadema, the weakest opposition Party in Afrika!

Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?

Nashauri chadema ivunjwe!
Ninaweza kuamini pasipo shaka kwamba wewe bado una stock kubwa sana ya viroba na mihadarati nyumbani mwako licha ya serikali ya chama lako tupu kuanzisha vita dhidi ya ulevi huo, wewe ni msaliti namba 1 wa Bashite.
 
Njia ya kuondoa woga kwa kitu unachokiogopa sana ni kujifanya kwamba huogopi kwa kukitajataja au kusogelea karibu. Mleta mada anaonesha wazi woga wake kwa CDM na ndio sababu ya kupost alichokipost.
 
Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?

Nashauri chadema ivunjwe!
Unashauri ivunjwe na nani?
 
Um
Acha kuota wewe chadema hata ukienda mikutano Ya chadema wanaovaa vazi la chadema ni viongozi wanachama hawana wanaona kujionyesha ni chadema hadharani ni nuksi. Nenda mkutano wa CCM wa hadhara uone watu walivyo na mapenzi na chama walivyovaa jezi za CCM walivyo wengi mleta mada yuko sahihi
Umeelewa post yangu?k
Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?

Nashauri chadema ivunjwe!
Kweli bwana CDM ivunjwe kabisa haina manufaa kabisaaa!!
 
Me natamani nifaham ww ni mzee au kijana au ww ni jinsia gn una akili mbovu km hizi may be kama ww ni mzee bc ni haki yako kusema ivo maana chuma chakavu ndo wanaturudisha nyuma kw kuhongwa kwa vitenge na kanga za kijani
 
Ukweli mchungu

Subiri matusi na mashambulizi
 
C

Chadema iliondoka na Dr Slaa!
Sure. Hata kura nyingi chadema walipata zilitoka kwa lowasa ambazo zilitokana na aliowarubuni akiwa CCM ambao walikuwa wapenzi wa CCM ambao baada ya kushindwa wamerudisha mapenzi CCM na wengi hawakumpa kura kwa kuwa walimpenda kama lowasa bali waliipa kura pesa yake aliyowamwagia. Zile kura alizopata lowasa ni za pesa alizomwaga. Zilikuwa kura za kusema asante lowasa kwa kutupa pesa za bure. 2020 nakuhakikishia lowasa hana pesa ziwe zake au za marafiki zake za kumwaga hovyo kama uchaguzi uliopita .Kutokana na joto la kisiasa lilipokuwa limefikia nina uhakika slaa angegombania angeshinda uraisi. Tishio la CCM uchaguzi uliopita alikuwa slaa na CCM ilikata jina la lowasa ikiogopa kuwa ikimuweka na chadema ikamuweka slaa CCM ingeshindwa uchaguzi mapema asubuhi kwani uchaguzi ungekuwa kati Ya mtu msafi ambaye ni slaa na mtuhumiwa wa ufisadi lowasa ambaye alitimuwa uwaziri mkuu na CCM wenyewe kwa shinikizo la chadema. Hivyo lowasa angekosa kura za wana CCM na kura zote za upinzani,Na wasio na vyama wachukiao ufisadi hivyo kuifanya CCM ifungashwe virago.
 
Chadema kwa sasa hawana tofauti na chama cha NLD tofauti yao ni kwamba chadema wamebahatisha wabunge
 
Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?

Nashauri chadema ivunjwe!
Umeshamchemshia mumeo maji ya kuoga lakini? au unashinda tu JF kuposti nudes...
 
Mkuu Uko sahihi sasa hivi watetezi wakubwa wa chadema ni viongozi tu wanachama wengi walishakibwaga.Hata mikutano yao Ya hadhara hawataki kuvaa mivazi ya chadema. Ukiona imevaliwa ni viongozi wamevaa tofauti na CCM.

!
!
Kuna uchaguzi ulifanyika Jana wilayani Kyela. Fatilia matokeo ya uchaguzi huo halafu uhare upya
 
Akili za Kibashite
Bunge mmezima,

Maandamano na mikutano mmekataza,
Wakijamba tu wanaswekwa Lupango,magazeti mnayatishia,

Mnataka washinikize nnya zenu?
 
Mnatia kinyaa kabisa. Sasa kama CHADEMA ni weak kwa nini kutwa mko busy humu kuandika makala juu yake. Nendeni bungeni na kwa wingi wenu pitisheni muswada wa kufutilia mbali vyama vingi ili turudi kwenye chama kimoja. Labda sukari itashuka bei.
 
Unaposema Chadema ndio chama cha upinzani dhaifu Afrika, vyama kama ACT-Wazalendo, DP, Sauti ya Umma, TLP na the likes unaviweka kundi gani?
 
Back
Top Bottom